Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
226
281
Wakuu habari za muda na wakati huu,

Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500.

Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias kikubwa cha pesa?

Naomba kuwasilisha
 
Hizo mia 5 za sarafu ni Silver hizo ,watu wanatumia kutengenezea vitu vya urembo.

Halafu si kweli kwamba zinanunuliwa mpaka elfu 30 .
 
matapeli tu hao! wanatengeneza njia ya kutapeli, kuwa makini! watakufata watakuuzia tsh 500/= kwa tsh 10,000/= ili ukauze kwa tsh 30,000/= afu ukakuta hakuna kitu kama hiyo, hivyo kuwa makini, tusipende sana nnjia fupi ama kupata pesa kirahisi tu, tumwombe Mungu pia tufane kazi kwa bidii!
 
Mkuu kuwa makini hao ni Freemason. Kaa nao mbali usijpendekezekeze kwao mwishowe utashawishika utoe kafara ndugu zako na wapendwa wako mwishoe ukaishi kwa huzuni na hela zako uchwara za damu.
Dogo bangi acha. Unapata kichwa sababu mume wa dadaako anakupa bando kila siku, akili zako zinavurugika sababu ya kulala sebuleni kwa dada yako kwenye sofa
 
Nenda ile Junction mnazi mmja kuingilia lumumba...pembeni pale kuna wadau wa pesa za zamani utawakuta ...kitambo sana wapo pale

Ova
Nielezee kwa undani ni Hawa wanaonunua wakipiga makelele au ma millionaire
 
Back
Top Bottom