Naomba kufahamishwa gharama ya Floor slab

Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
125
181
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini.

Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?

Shukrani...
 
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini

Shukrani ...
Hongera.
 
Juu pekee inaweza tu kuwa mita 8 kwa 8, ila chini inafika mita 10 kwa 15
Kwa ukubwa huo, slab tu inaweza kula 10m-14m na itategemea nondo na idadi utakazotumia, vitu vya kukodi au kununua.Wengine hutumia njia fupi kukwepa gharama, lakini cha muhimu zaidi kwenye ujenzi ni ubora.
 
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini

Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?

Shukrani ...
Ungekuwa na ramani yake ningekupa makadirio ndani ya saa moja
 
Kwa ukubwa huo,slab tu inaweza kula 10m-14m na itategemea nondo na idadi utakazotumia,vitu vya kukodi au kununua.Wengine hutumia njia fupi kukwepa gharama,lakini cha muhimu zaidi kwenye ujenzi ni ubora

Chief mi naomba kujua estimates za tofali kwa ukuta kwenye kiwanja cha 15x18... natanguliza shukrani
 
Kwa ukubwa huo,slab tu inaweza kula 10m-14m na itategemea nondo na idadi utakazotumia,vitu vya kukodi au kununua.Wengine hutumia njia fupi kukwepa gharama,lakini cha muhimu zaidi kwenye ujenzi ni ubora

Shukran sana ubarikiwe
 
Habarini za saa hizi wana JF,

Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini

Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na zile nguzo zake pamoja na beam yaani (skeleton structure) yote inaweza kufika kiasi gani?

Shukrani ...
Watafute jamaa hawa wakuuzie hii ramani. Inakula slab ndogo.
Screenshot_20210909-211441.jpg
 
Back
Top Bottom