gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burungutu lebba

    JamiiForums Tanzania V.A.R inawezekana Tanzania bila gharama wanazozitaja wao

    Wadau habari zenu, Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea mijadalla hii kifika mbali hadi serikali kutaka kuweka var ili kuepusha mapungufu hayo ya waamuzi...
  2. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

    VAR SYSTEM 1. Gharama zake ni kiasi gani? Kusimika mtambo wa VAR inagharimu £4.6M sawa na 14.5B Tsh. 2. Inaendeshwa chini ya chombo gani? VAR Huendeshwa chini ya IFAB International Football Association Board) (Bodi ya kimataifa ya shirikisho la soka) 3. Mtu Yeyote anaweza Oparate? *Hapana...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Faida katika biashara, gharama za uzalishaji, idadi ya bidhaa

    AVERAGE COST Kama tunavyofahamu neno average ni wastani, na cost ni gharama. Hivyo Average cost ni kuchukua jumla ya gharama zote fixed na variable cost (total cost) alafu ugawe kwa idadi ya vitu ulivyovizalisha (output). Mfano: Muuza mihogo ya kukaanga ametumia gharama ya 50,000 na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL === Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai. Mtaturu ameyasema hayo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Gharama za uzalishaji katika biashara yoyote

    TOTAL COST Variable cost + Fixed cost= Total cost Total cost ni gharama za uzalishaji wa kitu chochote Total cost imeundwa na gharama ambazo hazibadiliki hata ukizalisha kidogo na gharama ambazo zinabadilika kulingana na idadi ya uzalishaji. Fixed cost Hizi ni gharama ambazo hazibadiliki...
  6. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Serikali imebariki gharama hizi za matibabu?

    Ni kweli kuwa serikali imekuwa ikiongeza bajeti ya afya mwaka hadi mwaka. Ni kweli kuwa kutokana na serikali kuongeza bajeti ya afya, sasa tumeshuhudia Kila Wilaya imejengwa Hospitali ya Wilaya. Si tu kujenga hospital ya Wilaya, sasa nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kujenga vituo vya afya katika...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa inayojengwa kasi imepungua sana, huko mbeleni tutaambiwa gharama zimeongezeka mara dufu

    Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Wakuu Naombeni wataalamu mnisaidie gharama za kuezeka paa hili, roof plan attached
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini graphic card zina bei sana kuliko kompyuta?

    Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua. Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo niliyopata kwa sababu ndio kuitwa (GPU) graphics processing unit. Uwezo GPU ukiwa mkubwa na ndiyo...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Msaada wa data na gharama za Kujenga Healthy centre Bukoba Tanzania

    Wataalamu nimepata kamtaji fulani nataka Kujenga kituo Cha afya BUKOBA VIJIJINI TANZANIA Matazamio yangu Kituo kitakuwa na vifuatavyo First Phase ni Kujenga Msingi/foundation ya kituo ambacho kitakuwa na Size: 28'x60' Square Feet: 1,680 Private Offices: 1 Restrooms: 2 Breakroom 1 Exam...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya kupandikiza Mimba

    Salam, Napenda kufahamu gharama za kuoandikiza mimba hapa nchini Tanzania
  12. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

    Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi. Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRA Watoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki (ETS)

    Salaam Wakuu, Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki. Tazama katika picha hii hapa chini.
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuahirisha kuchukua hatua(Procrastination)

    Je umewahi kuahirsha jambo lolote lile katika maisha au biashara? Umewahi kuahirisha jambo dogo au kubwa kwa umuhimu? Kuahirisha ni tabia ya kuacha kufanya jambo fulani na badala yake unafanya jambo jingine.Ni tofauti na uvivu amapo mtu hafanyi jambo lolote.Katika ulimwengu wa biashara na...
  16. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

    Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha. Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia! Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba muziki wetu uko juu bali gharama nafuu za data zilitubeba, Afrika Kusini ndiye mrithi mpya wa nafasi ya Tanzania kushindana na Nigeria

    Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni. Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa Tanzania lakini hii ilikuwa kwajili ya silaha yetu ya bei rahisi ya data, kwa sasa mambo yamebadilika...
  18. Songambele

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa Ubungo - Hili Tangazo Mnaongeza gharama za kufanya Biashara

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Suala la sare za wanafunzi: Kwanini Serikali isitoe sare elekezi kwa wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza na Serikali ishone kwa kuchangia gharama?

    Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi. Kiukweli nimeona mtazamo wa wengi juu ya suala ,kuna wengine wanasema kwamba sio mbaya waendelee nazo tu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
Back
Top Bottom