gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nawashauri viongozi wasituhadae kwenye suala la gharama za mitandao

    Amani iwe kwenu. Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini. Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wa Ukraine wajichukulia mzinga wa Urusi, tena wa gharama sana

    Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana.... R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee... Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
  3. Yofav

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

    Habari wakuu, Life limekuwa tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi hebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku. Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

    Imekuwa si nadra kusikia ankara za mamilioni ya pesa kwa ajili ya tiba kwenye hospitali za umma. Nani anayepanga bei hizi na kwa vigezo gani? Je, ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo? Au ni yale ya Bashe na wakulima na bei zao za vyakula? Kwamba kama bei ni kubwa basi kila mtu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kuwa unaweza kujenga nyumba nzuri ya kisasa kwa gharama nafuu?

    Watu wengi wamekuwa wakiogopa kujenga nyumba kwa kuhofia gharama za mafundi kuwa kubwa na hata nyumba yenyewe, nimekuletea mpango mzima wa kujenga nyumba kwa tofali Nikisema hivi namaanisha kuwa yaani fundi utamlipa kwa kila tofali moja bei mtakayokubaliana kwa hiyo utakuta tayari unasave pesa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania IELTS inaweza fanyika online? Gharama zake zikoje?

    Wakuu nipo nafanya application ya masters ila naona wanataka ni attach matokeo ya IELTS. Naomba muongozo kama test iyo inaweza fanyika online na gharama zake n sh ngp
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

    Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote...
  9. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  10. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Gharama za kumkufuru Mungu

    Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!! Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye. Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

    Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania. Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu aiomba Serikali ipunguze gharama matibabu ya Figo

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, Flavian Kasala amesema gharama kubwa ya matibabu kwa wagonjwa wa figo imesababisha baadhi ya wagonjwa wanaotibiwa hospitalini kusitisha huduma kwa kushindwa kumudu gharama hivyo kupelekea vifo vya haraka ambavyo vingeweza kuzuilika. Kutokana na hali...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Rais Samia kupanda kwa gharama za maisha

    Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Watu walidhani leo Chadema wataongelea kupanda kwa gharama za Maisha !?

    Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio? Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza...
  15. Dovex Technologies

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji website nzuri kwa gharama ndogo?

    Habari wanajukwaa, Mara nyingi naona watu wakihangaika kupata website kwa ajili ya biashara zao,taasisi au NGO's, Huwa ninawapatia jibu moja kwamba hakuna haja ya kuhangaika, zaidi ya kushika simu na kupiga namba 0629266460 na ndani ya siku mbili tu unapata full developed website pamoja na...
  16. crome20

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  17. Dr criminal

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usiye na kazi usipende!

    Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26 Out there wakuu, Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana! Naongea na...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha huaribu sherehe za krismas

    Abuja, Nigeria - Adeola Ehi alikuwa anatazamia kumpeleka bintiye mwenye umri wa miaka miwili nyumbani kukutana na babu yake kwa mara ya kwanza Krismasi hii. Lakini maombi kwa matumizi ya kaya ambayo yalijumuisha kodi isiyotarajiwa kulifanya mshauri wa mawasiliano mwenye umri wa miaka 43...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hii gharama ya maisha kupanda ni afadhali mtunyonge tu

    Heeeeeeeh Kila nafaka imepanda bei, sukari imepanda bei. Mnataka mtuue pole pole? Sia afadhali mtunyonge. Ndiyo. Afadhali mtunyonge tujue moja.
  20. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
Back
Top Bottom