Rais Vladmir Putin asaini kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine kuwa sehemu ya Urusi

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,556
8,422
Muda huu Putin ana-sign kuzikalia mikoa minne iliyo ndani ya Ukraine.

Hii inaonyesha wazi Russia ni taifa lenye nguvu sana dhidi ya watu wa ugaibuni, wangekua waafrika au waarabu, America ingesha wachakaza vibaya.

Putin ni mwenye uwezo mkubwa wasiouweza ama utakao wasumbua sana.

===========

Putin signs treaties to annex Ukrainian lands​

Russian President Vladimir Putin signed treaties on Friday to annex four Ukrainian regions partly occupied by his forces, escalating his seven-month war and taking it into an unpredictable new phase.

"This is the will of millions of people," he said in a speech before hundreds of dignitaries in the St George's Hall of the Kremlin. "People living in Luhansk, Donetsk, Kherson region and Zaporizhzhia region are becoming our compatriots forever."

At a ceremony that Kyiv called a "Kremlin freak show" devoid of legal meaning, Putin delivered a 37-minute diatribe against the West, accusing it of "sheer Satanism", before signing the treaty documents with the Russian-backed heads of the four entities.

They then all clasped hands and chanted "Russia! Russia!" in unison with hundreds of dignitaries, who rose in a standing ovation.

The ceremony took place three days after the completion of hastily staged so-called referendums in which Moscow's proxies in the occupied regions claimed majorities of up to 99% in favour of joining Russia.

Ukraine and Western governments said the votes, announced only 10 days ago, had been conducted at gunpoint and were bogus and illegitimate.

Ukraine, the United States and the head of the United Nations had all said the annexation ceremony would have no legal value.

Putin urged Ukraine to cease military action and return to the negotiating table. Kyiv has vowed to recapture all the lands seized by Russia and said that Russia's decision to annex the territories has destroyed any prospect of talks.

The annexations mean that Russia, which had already seized Crimea from Ukraine in 2014, now lays claim to some 22% of Ukraine's territory, including parts that it does not control.

The Kremlin leader kept hundreds of assembled dignitaries waiting for 18 minutes before entering the imposing columned hall through a pair of golden doors opened by high-stepping guards, as a fanfare blared.

In his speech, he evoked the memory of Russian heroes from the 18th century to World War Two and repeated familiar accusations against the West, accusing it of colonial practices and recalling the use of nuclear weapons by the United States against Japan, which he called a "precedent", at the end of World War Two.

The hurried annexations mean that the front lines of the war will now run through territory that Russia is declaring as its own and that Putin has said he is ready to defend with nuclear weapons if necessary.

Some Western politicians called that a bluff - something Putin explicitly denied. The United States says it has warned Russia of catastrophic consequences if it does use a nuclear weapon.

Source: Reuters
 
Biden anakataa kabisa Putin hawez kufanya unyamera huo bt marekani kama anafyata mkia kama mbwa oko
 
Ile shughuli ya kusaini na kuidhinisha miji minne ya Luhansk, Donetsk, zaprozhy na kherson umekamilika
Putin katoa ahadi ya kuilinda kwa gharama yoyote na kuongeza kuwa ardhi hiyo imeshakuwa mali ya Urusi kuanzia leo (siku ya kusaini na kuidhinisha)

Sasa sijui wale wenzangu wa (upinde) wa magharibi mnasemaje katika hili. Ardhi imeshamegwa huko.
source.

=======

Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?

Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas( Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk. Miji Mkuu wa Zaporhzhzia na Dotnesk (Kramatosk) bado inadhibitiwa na Majeshi ya Ukraine. Mji mkuu wa Jimbo la Luhansk wa Lysychansk na Severodotnesk ndio inadhibitiwa na Urusi TU. Kwanini Putin ameshindwa kusubili Majeshi Yake yateke eneo lote la majimbo hayo Manne?

Maoni yangu

Baada ya ile CounterOffensive ya Majeshi ya Ukraine kuyafurusha Majeshi ya Urusi kwenye Jimbo la Kharkiv,Basi Putin ameona Bora ajitangazie Ushindi Kabla Mambo hayajawa magumu kwa upande wake. Sasa Urusi inataka kutishia Nyuklia Endapo Ukraine itaendelea na CounterOffensive kwenye hayo majimbo. Kama huu mkwala wa Putin utawaingia Marekani na kuogopa kuipa Silaha Ukraine Basi huu utakuwa Ushindi kwa Putin. Ngoja tusubiri tuone.
 
Nasemaga US&NATO uwezo wake Ni kupiga Waarabu na Waafrika tu,lkn huko kwa Mrusi wataishia kuweka vikwazo tu,Ila kijeshi hamna Kitu watamfanya.
Mrusi huyu huyu ambaye anashindwa kuichukua nchi dhaifu ya Ukraine toka February? Acheni vichekesho!
 
Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?

Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas( Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk. Miji Mkuu wa Zaporhzhzia na Dotnesk (Kramatosk) bado inadhibitiwa na Majeshi ya Ukraine. Mji mkuu wa Jimbo la Luhansk wa Lysychansk na Severodotnesk ndio inadhibitiwa na Urusi TU. Kwanini Putin ameshindwa kusubili Majeshi Yake yateke eneo lote la majimbo hayo Manne?

Maoni yangu

Baada ya ile CounterOffensive ya Majeshi ya Ukraine kuyafurusha Majeshi ya Urusi kwenye Jimbo la Kharkiv,Basi Putin ameona Bora ajitangazie Ushindi Kabla Mambo hayajawa magumu kwa upande wake. Sasa Urusi inataka kutishia Nyuklia Endapo Ukraine itaendelea na CounterOffensive kwenye hayo majimbo. Kama huu mkwala wa Putin utawaingia Marekani na kuogopa kuipa Silaha Ukraine Basi huu utakuwa Ushindi kwa Putin. Ngoja tusubiri tuone.
Mrusi anatafuta tu sababu ya vita kamili na ukraine, kwa sasa lolote litakalotokea atasema analinda nchi yake, mwanzoni alikua anakwepa kupiga sehemu zenye raia na huko ndo wanajeshi wa ukraine walipokua wanajificha angeua raia yangekua mengine , ila kwa sasa ukraine akiua raia wa hayo majimbo mrusi atachukulia kaua raia wake na yeye ana uhalali wa kukupiga kokote hata sehem za raia wako pia......huo ndo mwisho wa operesheni maalum hii inayofata sasa ni vita kamili
 
Mrusi huyu huyu ambaye anashindwa kuichukua nchi dhaifu ya Ukraine toka February? Acheni vichekesho!
Mimi si pro-Russia wala pro-US sababu sisi ni kima tu mbele ya hao wote.
Lakini here is my help to you, nani kakudanganya Ukraine ni dhaifu? Au ulifikiri anapigana na Lebanon pale au Iraq. Na unajua ukubwa wa hiyo nchi na changamoto yake tactically kwa nchi yenye jiografia ya namna ile? Hata ingekua ni Marekani ameenda kupigana huko isingekua rahisi kama unavyofikiri.
Huyo US tu nchi alizozichapa hakua akienda peke yake, alienda na washirika. Muwe objective na msiwe biased mnapoandika mambo. La! Utaonekana kilaza.
 
Mrusi ana historia ya kubomoa wababe wakutosha tokea enzi za wakina Napoleon hao marekani hamna vita ya maana waliopigana na taifa wanalokaribiana nalo, kazi yao ilikua tu ni vi proxy wars na kuvamia vi nchi utopolo, safari hii moto utawaka atafune huo mfupa
 
Back
Top Bottom