Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,956
2,439
Hidden roof houses ni Kama hizi hapa

IMG-20220803-WA0034.jpg
Screenshot_20221015-140502.png
Screenshot_20221015-140411.png

IMG-20220803-WA0034.jpg
Screenshot_20221015-140502.png
Screenshot_20221015-140411.png

Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%.
Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia.

Kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa Cha mbao na bati gharama ya fundi mpauaji nayo itapungua.

NAMNA YA KUJENGA NYUMBA ZA AINA HII

1. Hidden roof maandalizi yake yanaanzia tangu pale msingi unapojengwa.
- zitaandaliwa mapema kabisa njia za kupitisha pipe za maji
- Mchoro lazima uoneshe mapokeo ya maji Toka kwenye bati (gata)
- Hidden roof jengo lake linakuwa na vikolombwezo vingi, ambavyo vinahitaji umakini mkubwa kuvijenga.
2. Gata. HII ni mifereji ya kupitisha maji inayojengwa dalini. NA HAPA NDIO PANAHITAJI UMAKINI MKUBWA SANA. ukikosea hapa utaichukia nyumba Yako mile.
Ili nyumba hii isivuje lazima paa zake ziwe ndogo ngogo, na ili paa ziwe ndogo dogo ni lazima mizunguko ya gata iwe ya kutosha. Kuweka mizunguko ya kutosha ya gata ni gharama na inahitaji maarifa makubwa.

CHANGAMOTO
1. Gharama ya kujenga boma huongezeka tofauti na nyumba ya kawaida.
Sababu ya kuongezeka gharama ya ujenzi ni kutokana na ujenzi wa gata, boma kuwa refu kwenda juu na nk.
- Materials huongezeka mf. Tofali,mondo,cement nk.
-Labour charge huongezeka kwasababu ya complexity ya ujenzi wake. (HAPAHITAJI FUNDI NJAA HAPA)

2. Fundi lazima awe mbobezi. ZINGATIA HILI

3. Kuvuja. KAMA UTADHARAU KIMOJAWAPO NILICHOKUELEZA HAPO JUU. basi jua kuwa lazima nyumba Yako ivuje.

KARIBUNI SANA
0655173113
Fundi mahiri wa ujenzi
Email: pmoses@gmail.com
Ahsante.
 
Hidden roof houses ni Kama hizi View attachment 2387836hapaView attachment 2387839View attachment 2387840

Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%.
Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia.

Kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa Cha mbao na bati gharama ya fundi mpauaji nayo itapungua.

NAMNA YA KUJENGA NYUMBA ZA AINA HII.
1. Hidden roof maandalizi yake yanaanzia tangu pale msingi unapojengwa.
  • zitaandaliwa mapema kabisa njia za kupitisha pipe za maji
  • Mchoro lazima uoneshe mapokeo ya maji Toka kwenye bati (gata)
  • Hidden roof jengo lake linakuwa na vikolombwezo vingi, ambavyo vinahitaji umakini mkubwa kuvijenga.
2. Gata. HII ni mifereji ya kupitisha maji inayojengwa dalini. NA HAPA NDIO PANAHITAJI UMAKINI MKUBWA SANA. ukikosea hapa utaichukia nyumba Yako mile.
Ili nyumba hii isivuje lazima paa zake ziwe ndogo ngogo, na ili paa ziwe ndogo dogo ni lazima mizunguko ya gata iwe ya kutosha. Kuweka mizunguko ya kutosha ya gata ni gharama na inahitaji maarifa makubwa.

CHANGAMOTO
1. Gharama ya kujenga boma huongezeka tofauti na nyumba ya kawaida.
Sababu ya kuongezeka gharama ya ujenzi ni kutokana na ujenzi wa gata, boma kuwa refu kwenda juu na nk.
- Materials huongezeka mf. Tofali,mondo,cement nk.
-Labour charge huongezeka kwasababu ya complexity ya ujenzi wake. (HAPAHITAJI FUNDI NJAA HAPA)

2. Fundi lazima awe mbobezi. ZINGATIA HILI

3. Kuvuja. KAMA UTADHARAU KIMOJAWAPO NILICHOKUELEZA HAPO JUU. basi jua kuwa lazima nyumba Yako ivuje.

KARIBUNI SANA
0655173113
Fundi mahiri wa ujenzi
Email: pmoses@gmail.com
Ahsante.
Tatizo wateja wengi zaidi wanakurupuka na hao mafundi uchwara ndo nyumba inavuja sana mimi nimekutana na kesi hizo mara kibao
 
Back
Top Bottom