gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. superkumonga

    JamiiForums Tanzania Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  5. Leyman98

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kusoma CPA

    Habari za sasa hivi. Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nabi kumtumia Baka kwenye mechi kutaipunguzia gharama Yanga mwisho wa msimu

    Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
  10. Superfly

    JamiiForums Tanzania Best printer kwa gharama ya 300,000/=

    Wakuu, Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo: -Mpya -Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan -Wino wake usiwe bei sana -Maintenance yake iwe cheap Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer. Natanguliza shukrani
  11. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

    Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake. Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period Ya pili pia Nasubiri ya tatu Sasa😀 Pesa za p2...
  12. sajosojo

    JamiiForums Tanzania NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wafuasi wa Azimio wafunga barabara wakilalamikia gharama ya maisha

    Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa. =============== Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni: Ujuzi na Gharama zatajwa kukwamisha wengi

    Ili kuongeza Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete amesisitiza umuhimu wa Mafunzo ili kuwapa Wasichana Ujuzi wa Kidigitali Ameshauri wigo wa upatikanaji wa Intaneti uongezeke, na gharama ya Huduma hiyo iwe nafuu ili kuwafikia Wanawake wengi zaidi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Intaneti: Changamoto za gharama na ubora wa huduma zisifumbiwe macho

    Ili Jamii inufaike kikamilifu na Intaneti, changamoto kama Ubora wa Huduma na Gharama hazipaswi kufumbiwa macho Maisha ya Wananchi wengi yamebadilika kwa kiasi kikubwa kutokana na Upatikanaji wa Intaneti. Uwepo wake unawezesha kufurahia Haki nyingine za Msingi za Binadamu
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
  17. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mwanamke Tanzania, gharama utakazoingia kwa mwezi mmoja tu ni bodaboda mbili

    Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem wiki tu ameshakubali. Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio chini ya...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wassira: Mnataka serikali za majimbo mnafahamu zilivyo na gharama au mnaigiza tu

    Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse mabunge 20. Tuache kuigiza"
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Gharama kubwa za Vifurushi vya Intaneti ni kikwazo kwa Waafrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti Gharama zinapokuwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuondoa maji katika mapafu (pleural effusion)

    Wakuu naomba Kuuliza hospital zinazofanya Tapping Kwa mgonjwa aliye na Maji kwenye mapafu. (Tapping ni njia ya kutoa Maji Kwa Kutumia sindano) Nina Mgonjwa ambaye ana Maji katika pafu Moja. Sasa Bei ya Muhimbili Naona Siiwezi. Kwasababu Kila baada ya Wiki2 anatakiwa KUONDOLEWA Maji. Mwenye...
Back
Top Bottom