Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni.
Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya.
Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi.
Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer (mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar...
Habari za wakati huu wana jukwaa
Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji
Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
Kati ya vifaa vyote vinavyopatikana na uwezo wa mtandao, simu za mkononi kwa ujumla ndizo zenye bei nafuu Zaidi ukilinganisha na laptop nk. Utafiti uliofanywa Septemba 2021, ulithibitisha kuwa simu za mkononi ni zana muhimu zinazoweza kutumika kwa mtandao, watumiaji wa simu za mkononi waliripoti...
Top 10 African countries with the cheapest data prices from June to September
1)- Malawi 🇲🇼 $0.38(29th)
2)- Nigeria 🇳🇬 $0.39(31st)
3)- Ghana 🇬🇭 $0.40 (33rd)
4)- Somalia 🇸🇴 $0.50 (45th)
5)- Democratic Republic of Congo 🇨🇩 $0.52 (49th)
6)- Rwanda 🇷🇼 $0.55(52nd)
8)- Kenya 🇰🇪 $0.59(57th)...
Katika pita pita zangu huko Kwenye mitandao nikakutana na Hii prank ambayo ikaniacha mdomo wazi..
Kuona Mwanaume mwenzangu akikubali Mpenzi wake au Mchumba kama wanavyoitana apokee upako wa Busu Kwa malipo ya Tsh 500,000/=
Ukiangalia mpkaa mwisho utamkuta ndugu mtangazaji akimshawishi Kumla...
Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu.
Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha.
Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini...
Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida..
Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure.
Hata kwa...
Siku ya leo, nikajikuta bora nimsalimie mrembo wangu mwenye ujauzito aliyepo mkoani.
Baada ya kuchat kwa muda, ikaonekana inabidi tuonane ili kukipa lishe kile kiumbe; ingawa uchumi hauko vizuri, ila kutokana na ushawishi pamoja na uzuri wake, nimejikuta nakubali mualiko.
Nilipomuuliza kuhusu...
Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi
Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
Habari wakuu
Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money!
Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3.
Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania.
Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.