Wafalme 18
Senior Member
- Sep 17, 2023
- 121
- 126
Haraka kwenye mada, mambo ni mengi,
Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo,
Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno,
Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama z kumwona daktari kutoka TZS 5,000 hadi TZS 25,000,
Nadhani kuna haja ya waliojirani na Mhe Rais kumtonya hili kwamba Kuna watu wanamkakati wa kukiangusha chama Cha Mapinduzi kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2024 na ule wa 2025.
Mimi kama kada wa CCM napinga mambo haya ya kuwapandishia gharama za maisha hawa masikini wanyonge.
Kidumu Cha Mapinduzi,