gari

  1. J

    Wananchi kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara hawajawahi kuona gari aina ya Fuso!

    Kwanza nauliza mbunge wa Newala ni nani na anatokea chama gani cha siasa? Nimeona kupitia kipindi cha Taarifa ya habari ITV wananchi wa kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara wakilalamikia ubovu wa barabara katika kata yao na kwamba hawajawahi kuona Fuso zaidi ya kuziona luningani...
  2. Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  3. Natafuta fundi wa funguo za gari na programming kwenye immobilizer

    Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na kwakuwa gari lina immobilizer nahitaji mtaalamu wa kunifanyia mambo mawili 1. Kunitengenezea...
  4. Wakenya, nikiwa mtanzania je naweza kuagiza gari lifikie kenya ila nilitumie Tz, huku hali imekuwa mbaya

    Hali ya Tz kwa sasa, Ukaguzi wa gari unafanyika hapa hapa Tanzania na sio kufanyikia kwenye nchi unayoagizia gari kama japan. sheria mpya ni kwamba gari halikaguliwi kwenye nchi linapotoka, linakaguliwa likifika hapa tz. Sasa mimi nataka gari ikaguliwe huko huko japan, sitaki gari niliyoagiza...
  5. Nachohofia TBS ukaguzi wa magari ni mambo ya kutoa kitu kidogo au connections ili gari isikaguliwe miezi au kuambiwa ni bovu uingie gharama

    Mh, yani process hizi zinavyozidi kuwa nyingi hofu yangu ni kwamba kuna dili zinaweza kuanza. Ukaguzi huu ataelipia ni mnunuaji hakika ni maumivu ukiachilia mbali kodi zilizoongezeka kuagiza magari. Sasa kitu nachowazia yale mambo ya kutoa kitu kidogo au za kujuana yakianza tutaumia kweli...
  6. Je, huwa unafikiria kuhusu mifumo ya usalama kwenye gari kabla ya kununua gari?

    Kuna mambo mawili makubwa ambayo yanaamua upate madhara kiasi gani pindi unapopata ajali ya gari. 1. Speed Hili ndio watu wengi wanalifahamu. Kikawaida unapoendesha gari, uwezekano wa kupata majeraha makubwa au kifo huongezeka mara dufu unapovuka 70Km/h. Sitajikita sana katika kueleza hili...
  7. TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
  8. T

    Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
  9. New York: Mwizi wa gari atishia kuita polisi baada ya kukuta mtoto ameachwa kwenye gari aliyoiiba

    Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto. Baada ya kumkuta mama na mtoto akatishia kuita polisi kwa uzembe wa mama wa mtoto kuacha mtoto peke...
  10. Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

    Heri ya Mwaka Mpya. Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana, Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari...
  11. Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

    Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa. Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco. Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
  12. Matuta yote barabara kuu za mikoa yaondolewe; vivuko viwekwe vya chini ya barabara watu wakimbize magari wawezavyo bila vikwazo. Itapunguza rushwa pia

    India ina watu wengi mno duniani lakini barabara za mikoa ukiwasha gari unatimua mbio bila shida huoni tuta popote. Vijijini hata kuwe na wafugaji vipi barabara huwa na kivuko chini kipana tu cha kupitisha hadi mifugo kwa hiyo juu yanakuwa yanapita magari tu kwa spidi bila hofu ya kugonga kiumbe...
  13. Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  14. Hii ndiyo tofauti gari ya Mzungu na Mjapani

    The picture tells 1000 words...
  15. T

    Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  16. Nunua taa ya gari yako kwa nusu bei

    SHAM AUTO MOBILE HEADLIGHT COMPANY Ltd 2021/2022 Tumezalisha awamu nyingine ya lenzi mbadala kwa taa za gari aina ya TOYOTA IST kwa bei nafuu sana kwa seti gharama ni 240,000 OFISI ZETU ZIPO ZANZIBAR BARABARA YA MBWENI KARIBU NA CHUO CHA AFYA (SUZA) WASILIANA NASI KWA SIMU...
  17. Kwa Wamiliki wa Toyota na gari zote zinazotumia CVT

    Toyota anatumia gearbox za aina tatu. 1. A type, ambazo zimefungwa kwenye SUV nyingi kubwa za Toyota. Mfano A343F iliyofungwa kwenye Toyota prado TX 1997. 2. U type, ambazo zimefungwa kwenye gari ndogo nyingi za toyota. Mfano U341E ambayo ipo kwenye NADIA . 3. CVT, ambazo zimefungwa kwenye...
  18. Gharama za kuingiza gari bandari ya Dar

    gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
  19. Kwa Mwenye gari ndogo Kahama

    Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi. Gari ninayohitaji yenye capacity 2000 kushuka Chini ila isiwe noah na iwe gari ambayo unaweza himili masafa hayo bila shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…