Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,179
Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!

Sijui EWURA wanasemaje hapo.

1624452049286.png

NB
Kuna wadau mtawaona huko mbele wanadai nimeandika kwa chuki binafsi au nilikuwa nawania mbabibi hapokituoni.
Si kweli maana niliingia hapo kama emergency baada ya kuishiwa mafuta na kubaki na level ya mafuta chini ya robo.
Si kituo nilicho na kawaida ya kuweka mafuta pale.
Pili huyo msichana aliyeweka mafuta ya petrol na mafundi walionyesha ushirikiano.
Tatizo ni dharau za manager baada ya kumlakamikia kuwa hili ni tukio la pili kituoni hapo, na wala hakutaka kunisikiliza.
Na nikaahidi kuliweka hili wazi ili watoao leseni wajue hatari za kutokuwa na vituo vyao visivyokjwa na customer care or service.
Na wananchi wajue kuwa ukienda pale the risk is all yours.
 
Pole sana.. ila nahisi kuna tatizo na kwako pia, why gari yako ipate hizo changamoto?

Kama una gari ndogo ila inatumia diesel ni vizuri uweke lebo ndogo kwenye sehemu ya kuwekea mafuta.

Na kama una gari kubwa inatumia petrol fanya hivyo..

Hii itakusaidia kuepuka makosa kama hayo maana pump attendant wamekariri kwamba gari ndogo zote ni petrol na gari kubwa zote ni diesel
 
huwezi kujua labda alienda kupaki gari kwenye pump ya petrol huku kajifungia kwenye gari kibosi. kaulizwa tukuwekee ya shilingi ngapi mkuu yeye akajibu weka ya elfu 30
 
Mtoa mada acha kukichafua kituo chetu bwana hapo kuna pisi kali za kutosha na zinaadabu balaa...uzembe ni wako ukiwa unaingia hapo victiria pampu za petrol zipo kivyake na disel kivyake kwann wewe ukosee kila mara au unaingia apo upo tungi?
 
Back
Top Bottom