Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti,
2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari kuna madhara yeyote kwenye rangi asilia/origical color ya gari husika? hapa naamaanisha huko siku za mbeleni
3. Gharama za waxing kwa gari inaweza kuwa kiasi gani lets say Kluger?
4. Ushauri mwingine wowote unaohusiana na hilo