Nimeanza na kudeposit 100,000, nataka ninunue gari

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,703
Leo nimeweka laki moja kwene acc maalumu kwa ajili ya kununua gari

Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black

Bei zake nimechek cheki kwenye mitandao ni milion 23-24

Sijui itabichukua muda gani kufikia lakini nimeona bora nianze kujichanga naipenda sana hiyo gar!

Ebu mnishauri mliofanikiwa kununua gar yeyote kwa kujichanga kidogo kidogo AU KAMA KUNA NJIA NYINGINE NZURI YA KUTIMIZA MALENGO JISHAURINI
 
Tafuta namna upate mkopo,au hiyo laki ingia namna uanze kucheza mchezo na wenzio,then uchukue pesa kubwa, au jiunge na saccoss zipo nyingi unWeza kopa hata maratatu ya pesa yako. Achana na wanaosema kukopa ili kununua gari ni big mistake.Wengi tuna magari ya mikopo
 
Leo nimeweka laki moja kwene acc maarumu kwa ajili ya kununua gar

Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black
!!
Bei zake nimechek cheki kwene mitandao ni milion 23-24
!!
Sijui itabichukua muda gani kufikia lakini nimeona bora nianze kujichanga naipenda sana hiyo gar!!

Ebu mnishauri mliofanikiwa kununua gar yeyote kwa kujichanga kidogo kidogo AU KAMA KUNA NJIA NYINGINE NZURI YA KUTIMIZA MALENGO JISHAURINI
Bei ya gari unaijua na kiasi unachodeposit kila mwezi unakijua iweje usijue itakuchukua muda gani?
 
Leo nimeweka laki moja kwene acc maarumu kwa ajili ya kununua gar

Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black
!!
Bei zake nimechek cheki kwene mitandao ni milion 23-24
!!
Sijui itabichukua muda gani kufikia lakini nimeona bora nianze kujichanga naipenda sana hiyo gar!!

Ebu mnishauri mliofanikiwa kununua gar yeyote kwa kujichanga kidogo kidogo AU KAMA KUNA NJIA NYINGINE NZURI YA KUTIMIZA MALENGO JISHAURINI
Utafanikiwa kwa haraka Kama utafanya imagination yaani chukulia Kama tayari unalo unaliendesha au unaendeshwa unaenda sehemu fulani unarudi....
 
Back
Top Bottom