Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Screenshot_2023-05-18-07-01-47-848_com.miui.gallery.jpg

Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo.

1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari.

2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark plug kwa mashine ya Kisasa(Sonicator). Zikitoka hapa zinakuwa kama mpya

3. Kusafisha EGR Valve kwa gari ambazo zina huo mfumo. Hii baada ya muda huwa inaziba na gari inaanza kukosa nguvu milimani.

4. Kupima leakages kwenye mfumo wa hewa kwa mashine ya kisasa. Hii inawafaa sana wenye gari za ulaya au gari zenye engines kubwa ambazo zinakuwa na pipes nyingi za hewa. Leakage inachangia sana ulaji mbaya wa mafuta.

5. Tutapima pressure ya mafuta kwenye fuel lines. Hapa tunaweza kujua kama kuna shida yoyote kwenye mfumo wa mafuta.

Hayo yote utayapata kwa Gharama ya kuanzia Tsh. 50,000/= mpaka Tsh. 100,000/= kulingana na aina ya gari(Complexity ya engine system).

Note:
1. Hiyo ni gharama ya kazi tu yaani Labor charge.
2. Kusafisha Nozzle haitahusu engines ambazo zina Mfumo wa Direct injection.
3. Gharama inaweza kupungua ukipunguza baadhi ya vitu. Ila haiwezi kupungua chini ya Tsh. 50,000/=.

Zaidi ya hapo, pia utapata punguzo ukihitaji kufanya Diagnosis na huduma zingine mbalimbali ambazo tunazo.

Tupigie Simu/Whatsapp +255 621 221 606 au +255 688 758 625.

Ofisi ipo Dar es salaam, Sinza Kijiweni.

Karibu sana.
 
Mkuu gari yangu inashida ya mshale wa mafuta ulikua una fanya kazi sa ingine haufanyi sasa hivi ndo haufanyi kabisa gari ni toyota ist msaada zaidi
 
Back
Top Bottom