Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani?
Kemea ajali
1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi.
2. Utawagonga warembo mpaka uchoke.
3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili.
Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli
Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill
Watakuwa walikuwa wanapita njia...
Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc.
sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira.
Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam.
Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa.
Naomba msaada vitu vya kukagua kwenye gari kujua kama nzima au nabambikwa, pia kama imewahi pata ajali au la...
Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800
Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora. Sasa aliniuliza.mimi sijawahi fikia hatua ya kubadilisha kwa gari nliyo nayo ambayo nayo ni CVT but...
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.
Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
"CHICKEN ON THE BONNET" (KUKU JUU YA BONETI YA GARI)
Hawa kuku wawili nimewaona wamepanda juu ya boneti ya gari nje ya nyumba yangu.
Nikawa naomba dua wasiruke hapo kabla sijawapiga picha.
Picha kama hii huwezi kuipata hata kwa miaka mia.
Haraka nikaingia kazini na nikapiga picha nikianza kwa...
BREAKING: PROF LIPUMBA APATA AJALI "Gari yake imepinduka na imeharibika vibaya..."
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde
=======
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepata ajali eneo la Nangurukuru mkoani Lindi saa moja usiku jana Jumatano baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka...
Wadau habarini za leo
Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili?
Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana,
Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya.
Wake wataalamu tunawasikiliza.
Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la...
Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu.
injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982.
wankel injini ukubwa wa injini...
Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu.
Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri.
Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu.
ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ).
Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.