gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NMB hiyo tozo ya serikali mliyotuma SMS mnakata kwenye account zetu ni kiasi gani, asilimia ngapi?

    Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi. Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na...
  2. JamiiForums Tanzania Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO: Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti. Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

    1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7. Kwa Jicho la Huruma la Wine? Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

    Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa anatoka na wadau wengine, hali hii ilinipelekea nikawa nagoogle sana kuhusu dalili za mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Huko mbinguni tutakuwa katika umri gani?

    Sote waislamu na wakristu tunaamini katika maisha baada ya kifo.Pia kwa sisi wakristu tunaambiwa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,which means hakutakuwa na kuzaana. Sasa najaribu kujiuliza,huko mbinguni kutakuwa na marika(umri) tofauti yaani watoto vijana na wazee,au sote tutakuwa na rika...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
  7. JamiiForums Tanzania Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

    Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba imetenda haki? Kwa hukumu hiyo ya Sabaya inaleta taswira gani kwa hukumu ijayo ya Mbowe?
  8. JamiiForums Tanzania Mchongo wa kuvuta Shisha unastimu gani wakuu

    Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi.. Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa.. Sasa watumiaji wa hii bidhaa mje mtupe mrejesho kuhusiana na gari Moshi hilii
  9. JamiiForums Tanzania Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
  10. JamiiForums Tanzania Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  11. JamiiForums Tanzania Paula kaenda kusomea kitu gani huko Uturuki?

    Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo. Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
  12. JamiiForums Tanzania Huwa unapata wazo gani unaposikia online business

    Uzi tayari. Mana utaambiwa ni hela unatengeneza huku umekaa tu
  13. JamiiForums Tanzania Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

    Simu gani inajaa chaji mapema zaidi duniani kuliko hii
  14. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Africa kusini mwa sahara inaonyesha matumaini ya kuondokana na ushithole?

  15. JamiiForums Tanzania Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

    Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
  17. JamiiForums Tanzania Je, kujaladia madaftari lilikuwa jambo muhimu kiasi gani enzi za uanafunzi wako?

    Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma. Ni kuhusu kujaladia madaftari. Hii kwa walimu wengi ilikuwa ni sharti muhimu; yaani akiingia darasani anaweza kuamua tu kukagua...
  18. JamiiForums Tanzania USSR/ Urusi wana legacy gani Afrika?

    USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets. Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
  19. JamiiForums Tanzania Ni lugha gani iliyoharibiwa babel na uhusiano wake na Antarctica?

    Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma. Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine. Hii haikuwa muujiza bali...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna hasara gani kama Taifa tunazipata kwa kutokuwa na sera ya uraia pacha au "Special Status" inaweza kuwa mbadala?

    Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…