Nimpe kiasi gani kama shukrani?

Nimpe kiasi gani kama shukrani?

KazinjaTwo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2021
Posts
330
Reaction score
333
Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
 
kula naye mwana huyo,mzungu huyo mswahili angetaka kamisheni yake kabla hajakuunganisha na hiyo deal
 
Kuna jamaa amenipa dili la kiasi cha milioni moja, sasa ninataka kumpa pesa kidogo kama asante ili siku nyingine ikitokea tena dili anikumbuke. nimpe kiasi gani?
Mpe laki 1 hyo ni sadaka.
 
Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m

Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu

Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alikuona wew kama taahira vile[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom