gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

    Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia na busara ya kujua nini cha kuahidi kwa wakati gani

    Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu. Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa. Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine. na zipo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinaifanya dawa kuongezeka nguvu pale inapotegwa kwenye mlango wa choo?

    kwa wale wataalam wa ndumba ni kipi huifanya dawa kuwa imara sana pale inapotegeshwa kwenye mlango wa kuingilia chooni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

    Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania. Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

    1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku. 2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni. 3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

    Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
  7. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

    Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini... Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Hii nukuu ya Dalai Lama ina maana gani?

    “The very purpose of religion is to control yourself, not to criticise others.” — Dalai Lama XIV
  9. JamiiForums Tanzania South Sudan kuna fursa gani?

    Hii nchi inafursa gani ambazo mtanzania anaweza kuchangamkia?
  10. JamiiForums Tanzania Nisajili laini gani nyingine tofauti na TTCL na Vodacom?

    Habari wakuu, Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL. Nawasilisha.
  11. JamiiForums Tanzania Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

    Wadau habarin Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi pesa ni za nani na zilikuwa ni kiasi gani?

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ni kwa kipindi gani data zako zinaweza kutunzwa kabla ya kufutwa na mtoa huduma? Kesi ya Mbowe imetutoa usingizini

    Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

    === Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
  16. JamiiForums Tanzania App gani nitapata radio ya Wasafi Fm?

    Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

    Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
  18. JamiiForums Tanzania Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

    Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

    Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
  20. JamiiForums Tanzania Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…