Browser gani ni nyepesi inafaa kwa PC

Uwezo wa Kawaida

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
798
1,000
zamani nilikuwa naiona Chrome lakini nilivyokuja kuwa nikioverload vitu vingi kwa wakati mmoja nilikuja kuona Chrome ni nzito nikajaribu Opera nikaona nafuu japo si kubwa sana.

Kwa kuwa naipenda Chrome nikaamua kuirudia. My take nikwamba difference zake ni ndogo mno kati ya Opera na Chrome labda ngoja nije nijaribu na Firefox nione.
 

Grand Canyon

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
310
500
BRAVE BROWSER
BRAVE.jpg
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,957
2,000
Internet Explorer ndio nyepesi, izo nyingine kubali ukatae ni 'nzito'

kadiri browser inavyokua na 'features nyingi/nzuri' ndivyo inavyolamba RAM(au ku hog cpu ) kwa wingi
Internet explorer pia ni nyepesi zaidi, sema imekuwa discontinued juzi kati, version mpya za win 10 zinazo kuja haitakuemo ndani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom