Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
430
780
Asalaam wanajamii wenzangu!

Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani!

Nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
 
Kwa ushauri wangu ingia kitaa jichanganye na watu utajua pakuanzia .Ila nowdays jamiiforum sijui imekuaje hum utapata mawazo ya uhakika ukiwa na m10.

Miaka ya nyuma niliwah kupandisha uzi nikiwa nataka mawazo ya biashara ya kufanya yenye mtaji wa m1 cha ajabu hicho kias kilionekana kidogo sana

Maoni yalikuw hivi

=duuu sasa m1 utafanya biashara gan

=m1 labda ubet

=uza matunda

=tembeza karanga

Matokeo yake ,niliishika ile m1 nikaiona ndogo mno tena mno,

Nikaamua kuingia kitaa kuangalia watu wanavyorun biashara kubwa na ndogo nikatoka na wazo la kuuza viatu vya mitumba,nikapiga piga mtaji ukakua nikafungua mpesa

Kwa hyo ndugu ukiwa unakusanya maoni jaribu pia kuzama sehem husika

Nb:usiache kupiga story story na wazee wanaofanya biashara,wana njia nying sana za kupata pesa

Nawasilisha
 
Chukua Boxer Au TVS Mkuu piga Kazi Ya Bodaboda....! Jifanye Wewe ndio Tajiri hapo hapo Wewe ndo Boda boda mwenyewe.

Ikifika Siku ya Hesabu ... unaichimbia hela yako kwenye Kibubu.

Ukirudisha mtaji , unanunua Boxer nyingine...unaendelea hivo hivo mpaka Boda boda Zinakua 10. Unaachana na Uboda boda Wewe ndo Unakuwa Tajiri.

Hujatoboa hapo..?

Nasema Uongo ndugu Zangu?
 
Chukua Boxer Au TVS Mkuu piga Kazi Ya Bodaboda....! Jifanye Wewe ndio Tajiri hapo hapo Wewe ndo Boda boda mwenyewe.
Ikifika Siku ya Hesabu ... unaichimbia hela yako kwenye Kibubu.
Ukirudisha mtaji , unanunua Boxer nyingine...unaendelea hivo hivo mpaka Boda boda Zinakua 10. Unaachana na Uboda boda Wewe ndo Unakuwa Tajiri...!
Hujatoboa hapo..?
Nasema Uongo ndugu Zangu?

Achana na bodaboda utanishukuru baadae….

Et boda 10 nyieeeeee
 
Asalaam wanajamii wenzangu!
.
.
mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani!
.
.
nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
Idea yako ni ipi kwanza, pia hobbies zako ni zipi?
Tuanzie hapo
 
kwa ushauri wangu ingia kitaa jichanganye na watu utajua pakuanzia .ila nowdays jamiiforum sijui imekuaje hum utapata mawazo ya uhakika ukiwa na m10.

miaka ya nyuma niliwah kupandisha uzi nikiwa nataka mawazo ya biashara ya kufanya yenye mtaji wa m1 cha ajabu hicho kias kilionekana kidogo sana

maoni yalikuw hivi

=duuu sasa m1 utafanya biashara gan
=m1 labda ubet
=uza matunda
=tembeza karanga

matokeo yake ,niliishika ile m1 nikaiona ndogo mno tena mno,

nikaamua kuingia kitaa kuangalia watu wanavyorun biashara kubwa na ndogo nikatoka na wazo la kuuza viatu vya mitumba,nikapiga piga mtaji ukakua nikafungua mpesa

kwa hyo ndugu ukiwa unakusanya maoni jaribu pia kuzama sehem husika

NB:usiache kupiga story story na wazee wanaofanya biashara,wana njia nying sana za kupata pesa

nawasilisha
Asante sana
 
Dah, una 3M kbs? We mbona Ushatoboa.
Iyo M inasimama Kuwakilisha Milioni kbs ? Afu umemaliza chuo...!

Wapo Wanahitaji mtaji Japo 300,000 na Wakipata tu Wanatoboa...!
Jombaa Changamsha Akili japo kidogo.
asante, nimezisaka sana jombaa, nasitaki nifanye kwa mihemko, nataka nitumie akili kidogo nijue pa kuanzia
 
kwa ushauri wangu ingia kitaa jichanganye na watu utajua pakuanzia .ila nowdays jamiiforum sijui imekuaje hum utapata mawazo ya uhakika ukiwa na m10.

miaka ya nyuma niliwah kupandisha uzi nikiwa nataka mawazo ya biashara ya kufanya yenye mtaji wa m1 cha ajabu hicho kias kilionekana kidogo sana

maoni yalikuw hivi

=duuu sasa m1 utafanya biashara gan
=m1 labda ubet
=uza matunda
=tembeza karanga

matokeo yake ,niliishika ile m1 nikaiona ndogo mno tena mno,

nikaamua kuingia kitaa kuangalia watu wanavyorun biashara kubwa na ndogo nikatoka na wazo la kuuza viatu vya mitumba,nikapiga piga mtaji ukakua nikafungua mpesa

kwa hyo ndugu ukiwa unakusanya maoni jaribu pia kuzama sehem husika

NB:usiache kupiga story story na wazee wanaofanya biashara,wana njia nying sana za kupata pesa

nawasilisha
imekaa kitaalam sana hii asante
 
Back
Top Bottom