gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Hivi Kujiunga NATO kuna faida gani

    Nchi ya Ukraine imeingia kwenye vita kwa nia ya kujiunga na kuongoza ushirikiano na umoja wa NATO jambo ambalo Urusi hawalitaki. Katikati ya vita hivi na madhara makubwa kwa nchi ya Ukraine yakishuhudiwa kote duniani,bado kuna mataifa jirani na Urusi kama vile Sweden na Finland zimekuwa...
  2. Kabinti ka ludilo

    Maofisa ustawi wa Jamii 268 ngazi ya kata, wapo katika kata gani?

    Wakuu, Mimi nauliza hao maafisa ustawi wapo katika kata ipi. Maana nina uzoefu wa wilaya kama Kyela, Ludewa, Njombe, na Mufindi, zote hazina Afisa ustawi wa jamii hata mmoja ngazi ya kata. Je wapo wapi hao maafisa ustawi ngazi ya kata?
  3. Lavan Island

    Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

    Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine? Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa...
  4. Lycaon pictus

    Vipande 30 vya fedha(Silver) alivyohongwa Yuda leo ni kama kiasi gani leo.

    Eti wakuu, ile pesa Yuda alihongwa ilikuwa na thamani gani? Leo inaweza kufananishwa na kiasi gani?
  5. R

    Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Hii issue imenishtua na kunisikitisha. Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2. Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
  6. OLS

    Kuna Umuhimu gani ikiwa mapendekezo ya CAG hayatekelezwi?

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali kila mwaka wa fedha baada ya kutoa ripoti ya ukaguzi hutoa mapendekezo ili kuongeza ufanisi wa taasisi na kudhibiti upotevu wa fedha na mapato ya serikali. Hata hivyo mapendekezo machache hutekelezwa hali inayotia mashaka kwa nini CAG anaendelea kuwepo ikiwa...
  7. M

    Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani. Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
  8. Binadamu Mtakatifu

    PC gani bora ninunue kwa ajili ya masuala ya Coding

    Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full supported. Ahsante.
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  10. Mia saba

    Ulichukuwa hatua gani ulipotambua unachukiwa bila sababu au unaonekana huna msaada wowote kwa waliokuzuguka?

    Hiko hivi, Nimepata masimulizi kutoka kwa jamaa yangu sana yanayomsibu. 1. Ni mtu wa moyo Safi, Ila atawale aliowasaidia wanamuona nonsense kwa sasa 2. Anasema wakati fulani anasaidia kutoa taarifa kwa marafiki chimbo wanapopata mzigo kea Bei rahisi Ila jamaa zake wakipata sehemu nafuu zaidi...
  11. OLS

    Kushusha tozo za sukari kuna matokeo gani kwenye mfumuko wa bei

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo. Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
  12. Suzy Elias

    Mbunge: Matuta yanaharibu viuno vya wanaume wa Rukwa, yapunguzwe

    Mbunge unakosa hoja ya kulisemea taifa lako unaongelea upuuzi?! Kwamba changamoto lukuki zinazowakabili wana-Rukwa huyo mpuuzi kaiona ya viuno vya wanaume kuumia viuno ndiyo agenda kuu?! Nimetukana! =========================== MBUNGE BUPE: MATUTA YANAHARIBU VIUNO VYA WANAUME Mbunge wa Viti...
  13. luangalila

    Ni Kosa gani la ovyo ulilowahi kufanya tangu uanze kuendesha gari?

    Ebana mimi siku moja nikiwa fuel station si nikakosea njia ya kutokea bana , nika pita katikati ya zile pipe /mashine zile za kiwekea mafuta. Eh bwana eh kitu kikachubuka chubuka japo body haiku bonyea bonyea.
  14. emmarki

    Mafuta/lotion gani nzuri isiyo bleach ngozi?

    Habari Jf, Wataalamu wa ngozi na vipodozi mnipe maelekezo mazuri hapa. 🔷 Jinsia (me) rangi ya ngozi black chocolate, aina ya ngozi ni ya kwaida siyo kavu wala sijawahi kupata chunusi. Mafuta ya aina yoyote napaka bila kuona athari yoyote kwenye nyozi, kifupi ngozi yangu inahimili vingi...
  15. Mtu Asiyejulikana

    Kitu gani kilikuwa kinamfanya Magufuli amheshimu Edward Lowassa?

    Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa. Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au...
  16. Tango73

    Kuna sababu gani nchi za watu weusi kuwa mwanachama wa Arab league?

    Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki gani? Je, ukitokea mgogoro wa nchi ya kiarabu na kiafrica kama ilivyo mgogoro wa bwawa la umeme la...
  17. D

    Kuna faida gani ya furaha au huzuni yako kumfikia mtu mwingine asiyehusika?

    Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia! Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine! Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  19. Chotti de Alba

    Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Wadau. Salam. Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa? Ngoja niwape scenario. Mfano mimi nimeenda kupaki gari pale makumbusho nje ya jengo la LAPF, Mdada wa parking kaniona kapiga picha kaniandikia deni. Baada ya kupiga picha yeye anaondoka anaenda upande...
  20. N

    Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

    Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
Back
Top Bottom