Peter Msigwa ni mchungaji wa kanisa gani?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.

Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 siku hiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.

Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
 
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.

Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.

Fika kanisani kwake utayajua yote hata na zaidi ya unayotaka kuyajua.
 
Mimi sijui

Ila Kuna kipindi niliwahi kumkubali kipindi.akiwa waziri kivuli wa maliasili na utalii.
 
Kanisa la kaka yake! Duh
Peter Msigwa hajawahi kuwa na Kanisa

Alianza kuuza mitumba pale Miyomboni baada ya kutoka Makete

Baadae akapata mchongo huko SA na aliporejea ndio akaanza kujiita mchungaji

Yeye na mzee wa Upako walikuwa ni wajanja wajanja tu wa hapo garden ya.govt hospital
 
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.

Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.

Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
MCHunga mbwa. Iringa mbwa wanachungwa kama mbuzi na kondoo Usukumani
 
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.

Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.

Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Kwani ukiitwa nguruwe au simba shida nini?
 
Kuna kipindi nilikutana naye Gangilonga akiwa anaitwa Msigwa mara ghafla nikasikia eti Mchungaji Msigwa, ni kweli atakuwa Mchungaji wa Nguruwe
 
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.

Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.

Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Hako hua kapo kapo tu kama ka mjusi, mchungaji hayupo hivyo
 
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake.

Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 sikuhiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na hawakumchukulia hatua yoyote aliyesema hayo maneno.

Tangu kipindi hicho mpaka leo sijui huyu bwana ni mchungaji wa akina nani au alisomea tu uchungaji?
Ufufuo na Uzima
 
Back
Top Bottom