Timu ya Taifa Ghana, mchezaji Okrah kacheza mechi gani?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa.

Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona.

Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up.

Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN?

Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye short list ya kikosi kinachosafiri kwenda mashindanoni anakuwa hayumo

Au wanamuita ita tu kijana Okrah azoee timu yao kama kipindi fulani Tanzania walikuwa wakiwachukua akina Kelvin John na kusafiri nao
 
Au wanamuita ita tu kijana Okrah azoee timu yao kama kipindi fulani Tanzania walikuwa wakiwachukua akina Kelvin John na kusafiri nao
Sio kijana wa kujifunza maana ana zaidi ya miaka 27, kwa hiyo anapoitwa ni kwa ajili ya kucheza, na katika kikosi cha Ghana, local players hawazidi watatu, na yeye sasa anapungua
 
😂😂😂 Hapo Dar kuna mtaa wa Ghana, amecheza sana hapo. Pia amecheza timu moja inayokipiga hapo barabara ya Nkurumah kwahiyo ni sahihi, amecheza Ghana ya mchongo.
 
Kumbuka hata Asante Kwasi aliwahi kucheza timu ya Taifa ya Ghana.

Timu ya taifa ya Ghana kama Kichwa cha Mwendawazimu (Taifa Stars) kila mtu anacheza itategemea mganga wako kaamkaje siku hiyo.
Kwa hiyo kichwa cha mwendawazimu kimesmshinda yule mabange wenu mpaka anabembeleza huku akilia ili aitwe!
 
Mm nimeangalia kikosi cha Ghana toka 2019 mpaka leo sijaliona hilo jina labda Ghana fc ya Mburahati
 
kelele zilikua nyingi sana acha Pyramid wachukue huo ufunguo(key) wajue kama awajui.
 
Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa
Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona
Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up
Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN?

Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye short list ya kikosi kinachosafiri kwenda mashindanoni anakuwa hayumo

Au wanamuita ita tu kijana Okrah azoee timu yao kama kipindi fulani Tanzania walikuwa wakiwachukua akina Kelvin John na kusafiri nao
Screenshot_20220714-085838_VidMate.jpg
 
Ungemuona unge kaa kimya Bora umemkosa umekuja kutoa ya moyoni huku kumbe unateseka
Aliyewasema kuwa utopolo hamna akili zaidi ya baba yake na mh.Jk,mmempokea na mnamshangilia kila siku!! Hata yule kocha wenu aliewaita nyie kuwa ni manyani na mnabweka kama mbwa,kwa akili zenu akirudi leo mtampokea na kumshangilia pia! Sasa mnatofauti gani na manyani!!
 
Amecheza timu za vijana ila bado haja cheza timu ya wakubwa, Hana tofauti na Habib Kyombo naye alichezea stars ya vijana under 20.
 
Back
Top Bottom