Kuna rafiki yangu alinisumulia kwamba, mwaka 2008 akiwa bado mwanafunzi, alikutana na watu wawili waliomsimamisha njiani, wakamuongelesha awaelekeze njia ya sehemu ipo mbali kidogo na walipokutana.
Basi akaacha mambo yake muhimu, akawapeleka hiyo sehemu mwendo wa kama dakika 20 hivi, anasema...
Amani iwe na nanyi!
Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi.
Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ".
Niongezee...
Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments, Research na mambo mbalimbali...
Maana kwa Sasa kumekuwa na App nyingi ambazo mwanafunzi anaweza kuingiza...
Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha
Note
1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu
2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
Kama tunavojua Mane hatoendelea na Bayern msimu ujao ila hadi sasa bado haijajulikana atasainiwa na klabu gani.
So far klabu ambazo zimejiweka wazi kumtaka nyota huyo wa Senegal ni: Chelsea, Newcastle, PSG, Liverpool, Juventus, Tottenham, Inter, Aston Villa, Arsenal na Marseille. Unadhani...
Naomba kuuliza kwa wakristo,
Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka?
Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu.
======
Michango wa mdau
Habari za muda huu wapendwa
Bila shaka kwenye safari ya maisha kila mmoja wetu amewahi kukumbana na visa na mikasa mbali mbali kwenye purukushani za maisha
Mikasa ambayo imekuwa ikitupa mafunzo na mafundisho maishani mwetu na wakati huo huo kubadilisha kabisa mitazamo ya maisha yetu juu ya...
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.
NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui kusafirisha watu sijui uber au bolt nataka hicho chombo nitakachonunua kiwe ndio duka lenyewe...
Hello jf,
Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo.
Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia kwenye biashara.
Hii Cv yake ina mapungufu gani?
Habari za wakati huu!
Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea.
Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
Habari,
Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where.
Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.
Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?
Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao.
Kwa mfano:
your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi.
Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city.
Alifurahi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.