gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?

    Samahani wadau nawaalika katika huu mjadala wa kuelezea kwa kina juu ya mada tajwa hapo juu inayosema "IGA ni nini na inatofauti gani na HGA (Na mkataba nini na unatofautiana vipi na makubaliano?) Kumekua na mkanganyiko juu ya hizo terminologies, mwenye kujua maana zake tunaomba ufafanuzi wa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msigwa kumnyima nafasi Peter Madeleka, na kusema list ya wauliza maswali ina maana gani?

    Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

    Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
  4. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Namna gani sekta ya michezo iwe, kukuza na kundeleza michezo

    Sekta ya michezo ni miongoni wa sekta mbalimbali za serikali, ambapo hii sekta inajihusisha na masuala ya kukuza na kuendeleza michezo Tanzania, mfano mpira wa miguu, mpira wa mikono, ghofu, mchezo wa ngumi au masumbwi, kuogelea, riadha n.k. Tanzania katika kuhakisha ukuaji wa michezo serikali...
  5. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na TEUZI, ni mabadiliko gani Samia ameleta nchi hii mpaka Sasa?

    Sheria kandamizi ziko vile vile Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ukraine wapo kambi gani hapa nchini?

    Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine. Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile...
  7. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii unachukua hatua gani?

    Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa. Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu. Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi...
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  9. libeva

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakukera ukienda kutibiwa hospitalini?

    Ukienda kupata matibabu Zahanati/Kituo cha Afya/Hospitali ya Wilaya/ Hospitali ya Rufaa au Mkoa/ Hospitali ya Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kitu gani kina kukera ili Wizara ichukue hatua kurekebisha tatizo hilo kwa kusaidia unaweza taja hata sehemu husika ili utatuzi ufanyike.
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  11. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani?

    Najiuliza tu, kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani? Nawapongeza "wazee wa kuvujisha" Ninyi mmefanya kazi kubwa sana, tumejua hali halisi 😂. Nawaomba sana "wazee wa kuvujisha" zoezi hili liwe endelevu, maana mikataba ilisainiwa mingi sana. Tunawaomba msikate tamaa...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mnaokatalia Yanga wakisema wameshinda Treble. Je, Msimu wa 2021/22 Mamelodi walishinda Treble gani?

    Niambieni walishinda CAF msimu huo? Kila Sehemu na Tamaduni zake katika Football, Afrika tuna utamaduni wetu tofauti na Ulaya Japo tunaweza endana kwenye vitu flan but vingine tukatofautiana.
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Document gani ulikutana nayo kwenye vifungashio vya karatasi?

    Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili. 1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa vifungashio vya karatasi. 2. Karatasi ya mtihani ya mwanafunzi kutoka chuo fulani,( nakihifadhi)...
  14. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Ni Samsung aina gani inabamba kwa Sasa mitaani huko mjini?

    Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano gani kati ya kanisa na serikali?

    Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na kumkarisha . Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida. Ni kweli serikali...
  16. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kujua ni Jinsi Gani na Kiasi Gani WaZanzibari Wanautaka na Kuufaidi Muungano

    Leo hii waletee habari ya kuuvunja huo Muungano. Akina Jussa wanajirusharusha huko pembeni wakicheza sinema chovu, lakini husikii wakihimiza Muungano uvunjwe. Kama paliwahi kutokea fursa nzuri ya kuuvunja huu Muungano, , hapajawahi kuwa kama ilivyo sasa, wakati ambapo mZanzibari yupo...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani vimetumika kustaafisha jezi namba 20 Simba?

    Mkude amefanya nini la maana Simba Sports mpaka jezi namba 20 aliyokuwa anavaa kustaafishwa? Sijaona Barcelona wakistaafisha jezi ya Messi, Man Utd wakistaafisha jezi ya Giggs au Ronaldo? Ac Milan wamestaafisha jezi namba 3 ya Maldini kwakuwa alifanya makubwa sana ndani ya Milan akiwa kama...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakati gani bunge la Tanzania lilikuwa bunge?

    Kuna malalmiko, kuwa siku hizi bunge si bunge. Ni afadhali la miaka ya nyuma. Kuna minong'ono, kuwa bunge la sasa ni mfano tu wa bunge, kwa maslahi ya watawala. Hata wengine wamediriki kutamani bunge livunjwe. Kwani ni wakati gani bunge la Tz lilishawahi kuwa bunge? Inasemekana, kuna wakati...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

    Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed! Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini! Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana! Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single! Hata...
Back
Top Bottom