Biashara gani yenye faida Kwa mtaji wa Tsh 10 milioni mkoani Arusha

Lemongrass

Member
Apr 23, 2023
39
52
Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha
Note
1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu
2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
 
Back
Top Bottom