Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo
Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru,
Hizo ni baadhi tu
Wadau salaamu!
Noamba ushauri kuna fursa gani maeneo ya turiani (mvomero) hasa katiak upatikanaji wa mifugo hasa mbuzi, ngombe na nguruwe? Na pia fursa gani nyingine naweza kuwekeza huko na zikaniletea faida. Nimepata shamba huko na nahamia mwezi huu.
Natakunguliza shukurani
Ndugu Zangu nina miaka zaidi ya 10 sijaangalia serious TV SHOWS hata taarifa ya habari kutokana na ubize wa hapa na pale.
Nimepata maswaibu yameniweka chini imebidi nianze angalia tv kupoteza Muda ila Wiki ya Pili sasa inaenda sioni program interesting.
Natumia Ving'amuzi aina 3...
Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru.
Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana.
Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
Wakuu poleni na majukumu.
Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho
Ushauri wenu ni muhimu sana
Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu
Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini?
Ni kuku wa kienyeji
Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze
Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
Habari za Majukumu wakuu....
Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji...
Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri
Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿
Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa...
Heshima zenu wakuu!
Nataka nianze kuliandaa shamba jipya kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka huu.
Kwa kuwa ni eneo ambalo halijawahi kulimwa, nimeona ni vizuri nikaupime kwanza udongo wake ili nijue afya yake. Ni jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo?
Je, nichukue wa juu kabisa au wa ndani...
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.
Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.
Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.
Mwenye ujuzi wa...
Salama?
Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu.
Nawasilisha.
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?
Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu.
Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida...
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema...
Imepita siku 4 toka vita hii ianze lakini tayari Washirika wa Umoja wa Mataifa na Walinda Usalama wa Dunia wametoa misimamo yao katika vita hii.
Afrika tunajifunza nini?
Salaam na jukwaa,
Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba.
Chanzo cha...
Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili.
1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi.....
2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote......
3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela......
4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe......
5. Anaependa "Tit for tat" ...
Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini?
Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29.
Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.