Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi?

Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu.

Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida ya kujisafisha yenyewe, yaani kuna liquid huwa, karibu muda wote, inatoka ndani kuja nje kupitia uke; bado watu wanalamba na kufakamia chumvi tu kama wamerogwa.

Pamoja na wale waliopata bahati mbaya ya kutoa harufu mbaya ukeni mwao kujifukizia manukato mengi yenye harufu kali sana kwa lengo la kuficha hiyo harufu; bado watu wanafyodoa chumvi tu kwa ulimi bila kujali madhara ya manukato haya hatari.

Nini chanzo na nani muanzilishi?
 
Akili za mwanadamu hupenda kugundua vitu vipya kila siku.

1. Mwanadamu anajua ladha ya mkojo ipoje

2. Mwanadamu anajua ladha ya kinyesi ipoje

3. Mwanadamu huyohuyo baada ya kujua vyote hapo juu akaona ajaribu ladha ya ule ute unaotoka kwa manamke.

4. Ni huyo huyo.mwanadamu(hasa wa kike) anajua ladha ya sperm ipoje hata kuzidi wanaume wenyewe wenye sperm zao(semens+sperm)

Mwanadamu huyo huyo anajua ladha ya damu ya mwanadamu mwenzake au ya kwake ipoje.
 
_20231013_214448.JPG
 
Back
Top Bottom