Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
174
618
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva

Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.

Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara

Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.

Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.

Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.

Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.

Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.

Friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yaani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki yake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.

Nawaza hata kumtambulisha home na hiyo kazi yake bora awe mfanyabiashara tu hata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
 
Hahahaaa nikajua hayo mambo sikuhizi yamezoeleka.

Wakati nasoma Kuna washkaji zangu huwaaambi kuhusu Issues za Magari,
Yaani yeye awe konda, awe dereva lakini kikubwa yupo kwenye gari kubwa.

Nahisi Umri wake ni mdogo, au katokea ndichi huko, kuliko kwenda huko pharmacy sasa si bora um support aende NIT?

Lakini shida yako kubwa Sio udereva ni pesa, angekuwa ana mkwanja hutowaza hilo.
 
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udreva tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne ata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udreva,shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikari,though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udreva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue ata biashara
Sasa wewe si utafute hizo hela? Au mwenzetu una ulemavu gani?
 
Kama mnapendana na una amani kuwa nae kwenye maisha yako basi ng'ng'aniaaaa hayo mengine ni matamanio ya kibinadamu tu.
 
FB_IMG_16963885962550564.jpg
 
Back
Top Bottom