gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

    Salaam na jukwaa, Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba. Chanzo cha...
  2. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Unataka mwanamke wa aina Gani?

    Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili. 1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi..... 2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote...... 3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela...... 4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe...... 5. Anaependa "Tit for tat" ...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwakosesha kujiamini watu maarufu?

    Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...
  5. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jamani mikopo ya HESLB msg hii ina maana gani

    Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
  7. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia mafuta yaliyopita muda wake?

    Haya mafuta yapo mengi madukani yameexpai, chukueni hatua wahusika.
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  9. Namora

    JamiiForums Tanzania Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

    Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa. Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna aina tatu za watu (Idiot, tribalistic and citizens). Je, Tanzania kundi gani ni kubwa?

    Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu. Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii...
  12. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Duka gani nitapata original Tanalith C kwa ajili ya mbao?

    Kwa mwenye kujua, ni duka gani naweza kupata hii dawa original? tafadhali.
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wee Bocco una mpira gani unaokupa jeuri ya kunyamazisha watu wasiongee?

    Bloo wangu siku hizi unazingua sana kwa vitendo vyako vya kujifanya kunyamazisha watu kisa umefunga tugoli, tena tugoli twenyewe twa offside na twingine beki kajifunga. Ukweli ni kuwa hakuna cha maana unachofanya uwanjani siku hizi, kazi kuwapiga vichwa na vikumbo wachezaji wenzio. Nakushangaa...
  15. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu. Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

    Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni? Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
  17. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Hivi Uzi gani unaongoza kwa replies?

    Oya washkaji uzi gani una comments/replies nyingi? Kwenye pitapita zangu, nimeona ule Uzi wa Manchester United una replies kama 190k hv na wa arsenal una 140k approx. Uzi wa "Mikeka"(betting) una replies 372k Kuna uzi una replies nyingi kuzidi huu? Utume humu kweny reply yako kama unadhani...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kusikia sauti za watu wengi zikikupigia kelele za mwizi huku zikikujia na hatimaye ukakimbia, kituko gani kingine bangi imewahi kukufanyia?

    Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu kutuhumiwa kwa ubaguzi akiwa kwenye taasisi ya kanisa inaleta picha gani kwa mustakabali wa Tanzania?

    Zaman tuliaminishwa kwamba Prof ni mtu msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mema na mabaya. Leo hii profesa akiwa ndani ya taasisi ya dini ambapo tunaamini analelewa kiroho anapotuhumiwa kuwabagua binadamu na kuelekezwa wasipewe huduma hata ya chakula ni fedhea sana kwa kanisa na wasomi...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Michezo cha EA Radio cha Usiku huu wana maana gani Kuanza Kipindi chao na Wimbo huu wa Christian Bella?

    Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma...... Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue? Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
Back
Top Bottom