Watazamaji wa TV ni kipindi gani kizuri cha kupotezea muda?

Issuna

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,168
7,513
Ndugu Zangu nina miaka zaidi ya 10 sijaangalia serious TV SHOWS hata taarifa ya habari kutokana na ubize wa hapa na pale.

Nimepata maswaibu yameniweka chini imebidi nianze angalia tv kupoteza Muda ila Wiki ya Pili sasa inaenda sioni program interesting.

Natumia Ving'amuzi aina 3 Azam,Dstv,Startimes watumiaji wa moja ya hivi ving'amuzi naombeni hata mniambie niangalie channel gani ambazo atleast naweza pata pata hata kitu ni refresh.

TV ni mtihani kwakweli sioni nipo tu najikuta naona ni heri niangalie matangazo yananivuta vuta ila huko kwingine kote naona nyota nyota tu.
 
Back
Top Bottom