Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Ukitoa laini ya voda na hiyo app ndo itatoka mkuu.Sijaelewa hii ap ya voda je ni kuni track kuingilia mawasiliano yangu au nimeitoa haikubali naitoaje.
😂😂😂Usisahau na hiyo free vpn kama haijasajiliwa [emoji23][emoji23] (joke)
Kumbe tcra wangepiga kufuri vpn watu wengi tungewakosa. 😄😄😄😄🤝🤝Sijaelewa hii ap ya voda je ni kuni track kuingilia mawasiliano yangu au nimeitoa haikubali naitoaje.