Fursa gani ziko Turiani?

Mabala21

Senior Member
Jul 24, 2021
125
85
Wadau salaamu!

Noamba ushauri kuna fursa gani maeneo ya turiani (mvomero) hasa katiak upatikanaji wa mifugo hasa mbuzi, ngombe na nguruwe? Na pia fursa gani nyingine naweza kuwekeza huko na zikaniletea faida. Nimepata shamba huko na nahamia mwezi huu.

Natakunguliza shukurani
 
Kusanya mazao wakati wa kuvuna kisha uza yanapopanda bei (Mpunga na nafaka).Kama kuna umeme funga mashine ya Kusaga na kukoboa utanishukuru baadaye.
 
Kusanya mazao wakati wa kuvuna kisha uza yanapopanda bei (Mpunga na nafaka).Kama kuna umeme funga mashine ya Kusaga na kukoboa utanishukuru baadaye.
Nashukuru sana, hili wazo nimelipata na nitalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom