gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

    Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

    Chagua mshambuliaji mmoja tu wakuanza nae katika kikosi chako kutoka katika list ya washambuliaji waliopo pichani
  3. JamiiForums Tanzania Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine. Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu...
  4. JamiiForums Tanzania Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imesema itawasilisha mapendekezo uitwe Uwanja wa Samia Suluhu Hassan. Pia, Wizara...
  5. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ina shida gani? Eti Physics, Kiswahili na Geography nayo ni combination moja

    Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa? Nadhani idadi...
  6. JamiiForums Tanzania Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  7. JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
  8. JamiiForums Tanzania Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  9. JamiiForums Tanzania Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?

    Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
  10. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia, 1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu. 2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukija kuamua kuanza kulima utalima zao gani?

    Nimeona jinsi wakulima wakizungumzia mwenendo mbaya wa mazao yao Shambani mfano wa kulima wa Kanda ya Kati wengi walichelewa kumpanda hivyo jua la mwezi wa tatu limezingua kufanya mimea isinawiri huko kusini mvua zinapiga nyingi TOKa mwaka Jana na Wao athari ni kuharibika Kwa mazao mfano ufuta...
  12. JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa haraka hapa napata pesa kiasi gani?

    Wataalamu hapa kuna bei gani wakuu?
  14. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

    Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
  15. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

    Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali). Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza kununua kiwanja chochote na mahali popote. Na Hawa siyo kina Mo na Bahresa,ni watu tu ambao wapo low...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

    Naombeni msaada wa mawazo. Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja BANANA KITUNDA AIRPOT GONGOLAMBOTO GOMZ
  18. JamiiForums Tanzania Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  19. JamiiForums Tanzania Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana. Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…