Hivi ni tabia/ mazoea gani umeshindwa kuacha?

Hivi ni tabia/ mazoea gani umeshindwa kuacha?

Credio

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
12
Reaction score
19
Habari wanajamii

Hivi ni tabia gani au mazoea ambayo umeshindwa kabisa kuacha?

Mfano kwa upande wangu huwa siwezi kujisaidia haja kwenye Choo ambacho hakuna ndoo ya maji na lazima nimwage maji nisafishe choo na nijaze maji tena kwenye ndoo kabla ya kujisaidia hata kama hotel hiyo ina uhakika wa maji maana kuna wakati umeme ulishawahi kukatika na maji sikuweka kwenye ndoo kidogo nidhalilike

Vipi wewe mdau kwa upande wako
 
Back
Top Bottom