Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
km kenya.katiba yao iko poa uchaguzi wa rais unapingwa mahakamani na mahakama iko wazi na huru.tume ya uchaguzi ni huru kweli kweli.usalama wa taifa uko huru hawaingiliwi majukumu yao na wanasiasa km tanzagiza.madaraka ya rais yanaeleweka na yapo wazi na hayuko juu ya sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.