game

  1. Hajto

    Game za magari

    Habari zenu wadau,nina simu aina ya smartphone hua kila nikitaka kudownload play store game za magari ikishamaliza mwisho inaniletea maneno haya,Open the app na sehemu nyingine ni Scan for virus naombeni ushauri wenu je hapo niminye wapi na je izo game zitakuwa salama kwa wadudu simu yangu,
  2. Abdallahking

    Simulizi ya Kijasusi: C.O.D.EX.

    Simulizi : C.O.D.EX. 1 Mwandishi : TARIQ HAJI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1 Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu sana duniani Los Angels maarufu kama LA. Kama kawaida mapema vijana tunaingia kazini kutafuta mapeni...
  3. M

    Rais Samia Suluhu Hassan ameanza mchezo vizuri sana

    Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days. Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu atajenga system yake! Baada ya siku 100 ofisini, mama atakua mwenyekiti wa chama tayari, atakua amewapa...
  4. MSAGA SUMU

    Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

    Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane. Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa...
  5. M

    Jicho langu la Kiufundi na Tahadhari kwa Simba SC kuelekea katika ' Desicive Game ' yake na AS Vita Club tarehe 2 April, 2021

    ANGALIZO Nitakayoyaandika (Kuyaeleza) hapa ni Maoni na Mtizamo wangu Mimi All - Rounder na sikulazimishi uukubali bali uheshimu tu tafadhali. PONGEZI Nisiwe mchoyo wa Pongezi kwa Mafanikio haya makubwa ambayo kwa sasa Klabu ya Simba imeyafikia ikiwemo Ushindi wake wa jana wa Magoli 3 kwa 0 na...
  6. T

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
  7. Gajungi

    Tunawezaje kuangalia mechi ya Simba kwa sisi tulio nje ya nchi?

    Heshima zenu bandugu, Sisi tuliopo nje ya Tanzania tunawezaje kuangalia match ya simba ya leo? Asanteni
  8. Mtyela Kasanda

    Game tano kali kama computer ina uwezo mdogo sanaaaaaaaaaaa

    Hizi game zinakubali hata kama computer yako ina RAM chini ya mb 200 1. Half life 2 2. NFS Underground 2 3. Far Cry 4. Doom 3 5. Zuma's Revenge
  9. D

    Hongera Profesa Ted Mlyamkono na Profesa Hugh Mason kwa kitabu cha Game Changer -" Magufulis first term in office"

    Nimefurahishwa na wazo la Profesa Ted Malyamkono na mwenzake kwa kuandika kitabu kinachoelezea mchango wa Rais JP Magufuli na mabadiliko aliyoyaleta ya kijamii,kisiasa na kiuchumi nchini. Mwelekeo Mpya Kitabu hiki angalau kimejaribu kuonyesha sera na maono ya Rais Magufuli kimaandishi na...
  10. Chizi Maarifa

    Kwa hii Simba ya hawa wachezaji, Yanga tusiposhinda Natembea Bila Nguo Kabisa. Babu amehakikisha

    Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup. Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua...
  11. kcamp

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2. Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama umechoka zile barabara zake, magari yake, limitations pia katika kununua trucks hadi kufikia level...
  12. F

    Kweli " sometimes politics is unpredictable game " , January, Nape, Ridhiwani na Kigwangala hawako kwenye Baraza la Mawaziri towards 2025!!?

    January Makamba, Mwigulu Nchemba,Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na Hamis Kigwangala ukitazama vizuri ni baadhi ya vijana wa CCM ambao ama walikuwa "wanaandaliwa" au "kujiandaa" kutoa uongozi mkubwa kwa Taifa letu katika siku zijazo . Nasema hivi nikizingatia " generational succession plan" ya...
  13. J_Okay

    Taifa Stars vs Tunisia: Haikuwa game ya Boko wala Farid

    Makocha wanajua zaidi lakini sikuona kabisa mantiki ya kumchezesha Boko wala Farid mechi ya ugenini ya Taifa Stars dhidi ya Tunisia. Boko alikuwa cut-off kutoka kwa wenzake, akipewa mipira ananyang'anywa kirahisi na mabeki wa Tunisia waliomzunguka. Katika mechi hii Samatta angeweza kuonesha...
  14. H

    Game ya Tunisia vs Stars inaoneshwa wapi?

    Kwa sisi tunaotumia simu kuwatch mpira hii game tunaipataje?
  15. Trubarg

    Drones ni game changer kwenye vita

    Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi. Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi. Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na...
  16. GENTAMYCINE

    Kama alichosema leo Kocha wa Simba SC ni 'Mind Game' tu namuunga mkono, ila kama ni kweli 'lawama' zangu ziende kwa Uongozi

    Nimemsikia Kocha Mkuu Sven kuwa Wachezaji wetu muhimu, mahiri na tegemezi kabisa katika Kuamua 'Ushindi' Kiungo Clatous Chama na Washambuliaji Meddie Kagere na Chris Mugalu Kesho 'watakosekana' katika Mtanange wetu muhimu na Wapinzani wetu Yanga SC. GENTAMYCINE nasema kama Kocha amesema haya...
  17. P

    Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

    Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami...
  18. The Humble Dreamer

    Unalikumbuka hili Game?

    Wakuu Salaam: Unakumbuka hili Game? Uliwahi licheza? Tupe mbili tatu.
  19. T

    In order to avoid chaos piracy, free and fair elections is inevitable

    Eye-gase , gunpowder, Bullets , Military, Police , cannot deal with peoples who were subjected in long periods of time. It better the government to enlightening how the multitudes decisions can be respected at the great extents. Without left any anxious . Peoples they will not agrees with any...
  20. T

    Tundu Lissu the game changer, you deserve the medal

    In five years a go, The current regime, banned all Rallies, till 2020, this situations aroused the questions about, ending of the democracy. Also the Ward councilors and Member of the Parliament from various ares who resigned from oppositions were given power of returning to their former...
Back
Top Bottom