Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya...
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa.
Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga...
Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili.
Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3.
Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions...
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana...
Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji atacheza vs AI. Kwa sasa linapatikana kwenye Android pekee.
Nimechagua mchezo huu ili kuufanya uwe...
POST GAME WARDEN II – 53 POST
EMPLOYER: Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-08-12 2022-08-25
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To supervise field operations
ii.To prepare and executing patrol plans
iii.To allocate field gears to Conservation...
Lyrics Master ameshindwa kuthibitisha umasta wake kwenye lyrics. Juzi kati nilimpa mtihani kama usahili akasema atarudi na mistari. Leo wiki ya pili amekimbia Jukwaani.
Nilijua nitamnasa tu. Mistari ya Hili Game anaijua Juma Kassimu peke yake nina hakika hata P Funk aliyerekodi haijui. Sasa...
Kuna watu tumejaliwa vipaji fulani vya kusoma alama za nyakati na kutabiri mambo yajayo. Zaidi ya miaka miwili nimekuwa nikimfuatilia huyu mwanamziki Harmonise tangu ajitoe kwenye label ya WCB. Na kiukweli kabisa matendo yake na attitude yake ilinifanya nione uwezekano mkubwa wa huyu mtu...
Habari ndiyo hiyo, watu wetu wanafukuzwa kwenye Ardhi yao kumpisha Mwarabu awinde, Habari kamili chini hapo.
---
Ten Maasai leaders were detained and more than 30 people wounded during violent clashes with police in northern Tanzania on Friday, as they protested against eviction from their land...
Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge.
Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions.
Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe.
Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
TYCOON BUSINESS 2022
Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.
Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili...
Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii.
Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi ambao ni Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza) na Benjamin Abrahamu Mengi (ndugu wa...
Sikujua ni leo baada ya kupitia kwenye steampowered ndio nimezikuta.
days gone ambayo niliitamani sana kuicheza inapatikana kwa bei punguzo kutoka usd 49 hadi kwa usd 24 tu kwasasa.
Zingine ni god of war 4 na Horizon zero dawn.
Mara kadhaa humu humu JF wamekuja watu wanatuambia HIV ni kama mchezo fulani tu wa wazungu kutaka kuitia hofu dunia. Ni kama ilivyokuwa Corona Covid 19 walivyotuchezea akili.
Maoni haya yanakuwa magumu kuyaamini kwa sababu tumeshaelimishwa vinginevyo huko awali tena kwa miaka mingi. Bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.