Tunawezaje kuangalia mechi ya Simba kwa sisi tulio nje ya nchi?

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Heshima zenu bandugu,

Sisi tuliopo nje ya Tanzania tunawezaje kuangalia match ya simba ya leo?

Asanteni
 
Kuna application kama thop tv,red box na tv tap zipo kwa simu za Android,unazidownload kupitia google,then install,huko utazipata channel zote za sports,news,movies na documentaries,mechi za champions league za Africa zinaoneshwa na chaneli za beIN sports 10,9, au 8
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Ghafla unashangaa mnyama kaduwazwa ugenini!! Dah! Hakika Mji utakuwa mtulivu sana kesho yake.
Dua la nyani halimpati Simba,ila kesho kule Arusha mnapulizwa kinyama.
FB_IMG_1614878436285.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1614873797383.jpg
    FB_IMG_1614873797383.jpg
    23 KB · Views: 1
Ghafla unashangaa mnyama kaduwazwa ugenini!! Dah! Hakika Mji utakuwa mtulivu sana kesho yake.
Kweli nimeamini mwaka huu nusu fainali tunafika, yaani hadi Utopolo mmekubali mziki wa Mnyama.
Nimependa tu hapo kwenye "Ghafla unashangaa Mnyama kaduwanzwa ugenini" saizi Simba inaopepesha Africa
 
Ghafla unashangaa mnyama kaduwazwa ugenini!! Dah! Hakika Mji utakuwa mtulivu sana kesho yake.
kweli nyakati zinabadilika, week kadhaa zilizopita mlikuwa mnasema "Simba anaenda kulitia taifa aibu ugenini au mnaenda kupigwa zile hamsa hamsa"
leo hii mmekuwa waoga mpaka unasema "ghafla unashangaa mnyama kaduwazwa ugenini..!!
kweli muda unaenda mbio sanaaaa
 
BeIN wanaonyesha ila BeIN online inapatikana nchi chache ni few western countries na Middle East, ki ukweli CAF wamefeli sana hapa, inakuaje kuangalia tu match iwe ni kama mtihani.
 
Ghafla unashangaa mnyama kaduwazwa ugenini!! Dah! Hakika Mji utakuwa mtulivu sana kesho yake.
Itategemea na matokeo ya Polisi Tanzania vs Yanga pia. Unaweza ukashangaa Simba anafungwa Sudan lakini kocha anayefukutwa kazi ni wa Yanga! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom