game

  1. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nicheze android game lipi zuri la mpira?

    Ukitoa hii UTOPOLO (Dream Winners) game gani zuri la mpira (offline) ambalo nikiwa nacheza linatangazwa....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa strategie walizojiwekea Mbeya Kwanza game zidi ya Yanga hapa Songea, naamini yanga hamchomoki

    Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni, ni "Mind game" ipi inahusisha kuwanga na moto ndani ya pitch?

    Wanawanga mchana alafu wanasema tuwaombee, Mi ni simba dam dam ila kwa hili mjirekebishe
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakatwi mtu hapa: Jacqueline Mengi Mjane wa Dkt. Mengi apata Ushindi Rufaa ya Mirathi

    Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekewa na wasimamizi wa mirathi katika rufaa ya mirathi ambao ni Abdiel Mengi (mtoto wa marehemu Mengi wa mke wa kwanza) na Benjamin Abrahamu Mengi (ndugu wa...
  5. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Hizi baadhi ya game play station exclusive now zinapatikana kwa pc

    Sikujua ni leo baada ya kupitia kwenye steampowered ndio nimezikuta. days gone ambayo niliitamani sana kuicheza inapatikana kwa bei punguzo kutoka usd 49 hadi kwa usd 24 tu kwasasa. Zingine ni god of war 4 na Horizon zero dawn.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Is HIV/AIDS a mind game disease?

    Mara kadhaa humu humu JF wamekuja watu wanatuambia HIV ni kama mchezo fulani tu wa wazungu kutaka kuitia hofu dunia. Ni kama ilivyokuwa Corona Covid 19 walivyotuchezea akili. Maoni haya yanakuwa magumu kuyaamini kwa sababu tumeshaelimishwa vinginevyo huko awali tena kwa miaka mingi. Bahati...
  7. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Gamers: what game are you playing right now?

    He'll bosses, Wale tulio na games kwenye devices zetu, ni game gani unacheza sasa Mm sio mpenzi sana wa games lkn sometimes na cheza mara nyingi napenda ku cheza game amambazo zina run online sio kudownload application. Currently nacheza gama inatwa GO hii ni game origin yake ni huko china...
  8. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nafikiria tu: Concept Inayotumika kwenye ReactJS inafaa sana kuwa adopted kwenye game engines

    Hello bosses, nimetumia baadhi ya game engines lkn linapokuja swala la kubalance hivi vitu :- 1)Component Reusability, 2)Perfomance, 3)State management bado game engine nyingi sana zinafanya tradeoffs, yaan vinafavor baadhi ya hizo issue na kupuuzia nyngne. Hii inafanya ukute game linachukua...
  9. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Game store kama wanafungasha virago vile

    Nmepita pale Leo ..shelf nyingi zipo wazi hazina bidhaa..huenda jamaa wanafunga virago kimya kimya
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

    Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi. Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Hii ni mind game kesho mtu anakufa Kama kasimama

    Yanga ni zaidi ya mbumbu watu walishajua kuwa nyie mnapenda skendo za nje ya uwanja ndio maana Simba wameamua kuwachezea mind game ili Yanga mconcetrate na ya Simba kususia mechi msahau maandalizi
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Bill Gates had a video game created for microsoft windows called ‘omikron’

    IS ANY ONE EALLY SURPRISED THAT BILL GATES HAD A VIDEO GAME CREATED FOR MICROSOFT WINDOWS CALLED ‘OMIKRON’ IN 1999 ABOUT DEMONS HARVESTING SOULS? The 1999 Microsoft video game Omikron continues to go viral on social media amid the new Omicron strain and people have a lot to say about it on...
  13. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza askari wa hifadhi za wanyamapoli walio waadilifu, kwa kuendelea kusimamia kulinda urithi wa maliasili tulizo nazo ikiwemo hifadhi ya Taifa ya rubondo. Kwa wasio ifahamu rubondo ni kisiwa kinachopatikana ndani ya ziwa Victoria. wilayani chato, Mkoani Geita...
  14. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Patrice Evra en mode "I love this game"

    Kusukuma Gari ya gharama wakati huna PESA
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Game ya Simba na yanga iliyopangwa 11 December kusogezwa mbele?

    Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba. Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ? Nani anasogezewa mbele kipigo?
  16. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Rockstar games wanazirejesha gta 3, vice city na san andress november hii.

    Zote tatu ndani ya cd moja zikiwa zimeboreshwa graphics mpyaa kwa ulimwengu wa sasa. system requirements OS: Windows 10 (probably 64 Bit) RAM: 8 GB. Processor/CPU: Intel Core i5-2700K / AMD FX-6300. Graphics Card/GPU: NVIDIA GeForce GTX 760 2GB / AMD Radeon R9 280 3GB. Storage space: 45 GB...
  17. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

    "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?" Binafsi siwezi, kwa umri niliofikia na kutembelea sehemu na maofisi mbalimbali, nikijumlisha na life la mtaani kwangu na kibaruani kwangu jinsi watu wanavyoishi hakika sina imani na mtu yeyoteee. Rafu aliyochezewa...
  18. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Squid Game English version?

    Vipi mnao fuatilia hii series je kuna vipande vya kingereza mnipi link nivipakue?
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Haipendezi Mwanaume mtu mzima kucheza games za kitoto kwenye simu yake

    Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES. Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

    Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini. Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi...
Back
Top Bottom