Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza kutokea kwa team zote mbili kitendo Cha Yanga kuaidiwa mil 200 na uongozi wao Kama wakishinda...
The Atlantis Report
End Game for The US Dollar as the Central Banks Losing Confidence in The Dollar . THE EMPIRE OF THE DOLLAR IS DRAWING IN ITS PAINFUL AGONY OF DEATH, AND ITS PATRIARCHS ARE IN THE STATE OF NEGATION OF REALITY OTHERWISE KNOWN AS THE TRUMP PRESIDENCY.
Whether or not you...
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu.
Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo. Nafikiri ni starehe yangu nyingine hapa duniani.
Njooni tujuane na tupeane hint mbalimbali na pia...
Kuna clip fupi imesambaa mtandaoni ya Pastor Susan Munene akiongea kuhusu umuhimu wa sex katika ndoa. Hii hapa clip ndefu zaidi ikiwa na maelekezo mengi hasa kuhusiana mambo ya ndao.
hapa chini ni baadhi tu maneno ya Pastor Susan Munene. Mimeweka full video pia hapo chini.
“Kama kuna kitu ya...
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa..
Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara.
Nilichokua nahisi...
Model: LENOVO IDEA PAD Z585
Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached)
Harddisk: 500Gb
Ram: 4Gb
Screen size: 15.6inch
Dvd slot: Available
Battery: 5hrs
Display 15''
Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED
PRICE : Tsh 550,000 Negotiable
Call or Text 0713 985936
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.