Simba SC msiwaamini Yanga SC na 'Mind Game' yao kuwa Saido na Ambundo wamefukuzwa Kambini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.

Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo (hasa Uwanjani) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
 
Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo ( hasa Uwanjani ) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
Huyo Saido siku akipata stroke uwanjani ndio watajua amezeeka sana.
 
Hata Mayele, Djuma Shaban,Aucho ,Farid na Feisal Salum na wenyewe walitoroka kambini ila ndo wakasemehewa wotewote kasoro Ambundo na Saidoo wakafanywa mbuzi wa kafara....kwahyo kuna mgogoro mkubwa sana kwasasa ndani ya timu

Ni wakati wa Simba kurelax na kupunguza presha na kushinda hii Game bila kutumia nguvu sana
 
Au siyo🤣🤣🤣
 
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.

Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo ( hasa Uwanjani ) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
KOLO ULIBWANJIII KTK UBORA WAKOOO
 
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba...
Usiwe mbishi wewe! Hao wachezaji wamefukuzwa kweli kambini kuanzia juzi. Na Mayele naye amesema hatacheza hiyo Jumamosi kutokana na sababu zake tu binafsi! Eti hataki kuwa mfungaji bora wa msimu huu.

Hivyo kama kuna uwezekano, mumshauri kocha wenu Pablo kutoka Real Madrid na Getafe kusitisha yale mazoezi yake maalum kwa mchezaji wake Inonga, ya kumkamia huyo Mayele.
 
Uongo mtupuu.
 
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba.

Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili Kutufunga Kisaikolojia baada ya kugundua kuwa Kiuchawi na Kimchezo (hasa Uwanjani) wameshashindwa na Simba SC itashinda bila wasiwasi kwani Kazi Maalum imeshamalizika na Watajuta.
Nani wachawi sasa kati ya yanga na mikia?unaongea hivyo ili hali hata faini mliopigwa kwa ulozi bado hamjailipa
 
Back
Top Bottom