game

  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game imeshaisha. Hakuna wa kutuzuia tusichukue ubingwa leo

    Huu Ubingwa tunauchukulia hapa. Hakuna wa kutuzuia. Kule tutaenda kamilisha tu mahesabu.
  2. OGTV

    JamiiForums Tanzania Marvel's Spider-Man: Miles Morales GAME: Jinsi Ya Kucheza Spider Man kwenye PS5

    FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
  3. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania The lie game

    The lie game. Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori 😀😀. Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo. Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi. Mfano;- "Nilipokuwa nasoma walimu waliniogopa kiasi kwamba wakitaka kuongea na mimi hunyoosha kwanza vidole😂😂"
  4. OGTV

    JamiiForums Tanzania GTA V FINAL MISSION: Zijue mission za mwisho kwenye gta V

    Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua. Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

    Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
  6. beatboi

    JamiiForums Tanzania Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  7. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Mechi kati ya Al ahly Vs Raja na CR Beouilzdad Vs Mamelody

    Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL. FT:Kabyile 0-1 Esparance. FT:Simba 1-0 Wydad AC. Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca. CR beoulzdad Vs Mamelody. matokeo baada ya mechi zote kuchezwa👇
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game tumeshaimaliza. Simba analala kesho. Tunamgonga kama kawaida yetu. Kama sivyo nifanywe hivi

    Safi sana..... Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi. Tumewaacha jamaa waendelee. Uhakika upo. Simba ni kama mti embe wa uwani. Unajichumia tu embe...
  9. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa nicheze game lipi

    Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
  10. Donson

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kwenye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  11. Donson

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kweye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  12. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kucheza GTA game

    Kwa wale mliowahi kucheza game za gta ety. Mpaka uwe unajua kiingereza ndio uliweze mission zake watu wanaisifia Sana hasa San Andreas, niliwahi jaribu kuidownload mwanzo tu nashindwa kujua niende wapi naona la mtu kamesimama tu.
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kikosi Bora CAF champions league game 5, Simba babalao

    Kikosi hicho hapo . Simba wa 4. Kapombe Kanuti ,chama Baleke Sio bure hii Caf ni Simba watupu
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Chama, mchezaji wa game ndogo anapowafunika Lilepo na Shelulile

    Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo. Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima Mwamba. Mwamba anasomeka kama mfungaji bora wa ligi, juzi tu hapa aliidhinishwa kama mchezaji bora...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua hacks au tricks za kuwin aviator games na balloon game za parimatch msaada tafathali

    Naombeni kujua hacks or any tricks za kushinda angalau kidogo zile casino games za parimatch. Hasa aviator na Ile balloon game na football game. Any tricks kwa anaejua. Niplay vipi ili lile balloon lisipasuke lifike odds za juu au wale wa kwenye football game wasianguke waplay odds za juu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vipers vs Simba ni game ngumu sana, Jumamosi Feb 25, 2023

    Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee. Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
  17. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo games kali za android na iOS za kudrive kwa sasa

    Habari Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burna Boy, Rema na Tems kukiwasha NBA All-Star Game leo usiku

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi. Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
  19. blogger

    JamiiForums Tanzania Kontawa (lyric genius )Atadumu kwenye game au nae atapotea kama wengine..!?

    Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna teaser(vionjo) vya kupima upepo kama wafanyavo wengine. Anatoa kazi anaachia kazi.. kizuri chajiuza...
  20. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
Back
Top Bottom