Lyrics Master umeshindwa kuweka Mistari ya Hili Game ya Sir Nature

Lyrics Master umeshindwa kuweka Mistari ya Hili Game ya Sir Nature

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476

Lyrics Master ameshindwa kuthibitisha umasta wake kwenye lyrics. Juzi kati nilimpa mtihani kama usahili akasema atarudi na mistari. Leo wiki ya pili amekimbia Jukwaani.​


Nilijua nitamnasa tu. Mistari ya Hili Game anaijua Juma Kassimu peke yake nina hakika hata P Funk aliyerekodi haijui. Sasa wewe mdogo wangu utaitolea wapi?

🤣🤣🤣🤣
 
Itakuwa hata Google hakuna

Hahaha

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom