Fursa ya mafunzo ya bure ya ufundi kwa viziwi

TDSF

New Member
Apr 7, 2020
3
3
Shirika lisilo la kiselikali la Tanzania Deaf Skills Foundation TDSF, Kwa kushirikiana na Chuo cha ufundi stadi cha Moravian Kyela, wanatarajia kutoa mafunzo ya ufundi kwa viziwi kwa kutumia lugha ya alama. Mafunzo hayo ya miezi mitatu darasani na miezi mitatu mafunzo kwa vitendo, yamefadhiliwa na shirika lisilo la kiselikali la the mango tree UK Trust. Kwa maelezo Zaidi, tafadhali wasiliana nasi kwa njia zifuatazo​

  • Mwenyekiti; 0655279740 (Ujumbe Mfupi)
  • Katibu: 0654124337 na 0620204372 (Ujumbe mfupi na kupiga)
  • Mtunza Hazina: 0715519529 na 0769512077 (Ujumbe mfupi na Kupiga)
  • Ukurasa wa Facebook; Tanzania Deaf Skills Foundation.
Au tembelea ofisi zetu zilizopo Ghana Street, P. O. Box 3445, Mbeya.

Viziwi wote wenye nia na mafunzo haya wanakaribishwa!

NI BURE!​

Tangazo-22.jpg
 
Back
Top Bottom