Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa?

sopinta

Member
May 28, 2020
46
93
Nimekaa nikawaza kwanini serikali ya awamu ya tano inakosa kabisa washauri wa Uchumi wa fursa za kimataifa ukiiangalia TZ katika kilomita zake za Mraba ni zaidi ya 900,000, hapo kilomita za Zenji bado hazijaingia , ukiwa unafanya safari unakutana na mapori mengi sana , mikoa mingine unakuta nusu ya eneo la mkoa lipo wazi huku miundombinu ikiwa mibovu hasa sekta ya maji na Barabara, nikawa najiuliza kwanini serikali hii haitumii Diplomasia ya Uchumi na Siasa katika kugrab Dollari kutoka mashirika ya UN, nchi nyingine, Rwanda, Kenya , wanatumia sana mfano kuchukua wakimbizi.

Mfano kwa mkoa wa Dodoma upo very Dormant na population ya inakuwa taratibu sana , nitoe ushauri tu kwa vile Tanzania tumeisha mpiga mdudu CORONA na malimao yapo ya kutosha , serikali ichangamkie fursa ya kuchukua wakimbizi na kuwafutia maeneo ambayo yapo wazi wakakaa huko , then ikawa inachukua dolari za UN , itasaidia kukuza uchumi pamoja na Diplomasia ya Uchumi na Siasa.....

The UN Refugee Agency (UNHCR) urgently requires 343 million US dollars in order to meet additional needs of millions of refugees and other vulnerable people in the Middle East and North Africa related to the COVID19 pandemic.

The funds are needed to save lives and protect against COVID-19 from spreading, but also to address the dramatic socio-economic consequences of the pandemic on some of the most vulnerable people in the region.

The Refugee Agency plans to further scale up support for those most in need among 16 million refugees, internally displaced persons, returnees, stateless people and members of host communities in the region. In addition, the funds will contribute to improve the situation of Syrian refugees in Turkey.
 
Labda ungeshauri jinsi ya kuuwa upinzani ungeeleweka.For 5 yrs wako bize kuuwa upinzani kuliko kuuwa umasikini, angalia Kodi zetu zilivotumika hovo kupambana na upinzani for 5 yrs vipi Kama hio nguvu ingetumika kuwasaidia vijana kuhusu tatizo la ajira si lingeshapungua.
Matokeo yake wamewekeza kupambana na upinzani ambao katu hawatoweza wameshindwa zaidi ya kuukimbiza upepo,Leo miaka 5 wamejisahau Hadi wanazomewa hii bado.
 
Umasikini wetu unatokana na gap ya uwiano Mdogo wa akili zetu na raslimali zetu.Yaan hatujawekeza vya kutosha kwenye maarifa ya jinsi ya kuutumia akili zetu zitambue fursa zilizopo ili zitumike kuzalisha.Thus wanakuja wageni mikono mitupu sababu wanayo maarifa wanapata mitaji hapahapa na wanazitumia raslimali zetu wanachota utajiri wanarudi kwao mamilionea.
Check TISS wa wenzetu wako bize kuiba Siri za fursa za mataifa mbalimbali kuanzia masoko, malighafi,nk Kisha uzipeleka nchi mwao na kuwapa watu wao wanakwenda kuchuma nchi hizo na kuleta nchini mwao then wanaendelea,Hawa wetu wako bize kumfatilia zito, Mbowe,sijui Rema amepost nini,amesema nn waangalie Kama kuna uchochezi badala ya kuangalia tatizo la ajira tunafanyaje Sasa.Then tunawekeza kwenye visivyo tija tunalaumu mabeberu.
 
Wachumi? Hawa wakina Mwigulu? wanaenda kuchunguza maabara za corona? Nchi ina mkosi sana hii.
 
Tatizo umeshindwa kuelewa mambo makubwa mawili ya msingi sana la kwanza ni kuwa serikali unayoishauri huwa haishauriki na ukikomaa kuishauri ndiyo unaharibu kabisa La pili si kipaumbele cha serikali ya awamu hii kunufaika kwa fursa za kimataifa zilizopo, ajenda kuu ni kuhakikisha kuwa mwamba na wafuasi wake wanaangamizwa kabisa na upinzani hapa nchini unakuwa ni historia. Ukishaelewa mambo hayo ndyo utaelewa aina ya nchi unayoishi
 
Back
Top Bottom