Hongera Vodacom M-Pesa kwa kuleta Open API - Fintech developers tutumie fursa

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
253
250
Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.

Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii
 
herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
253
250
Since the forum inatembelewa na watu wengi na wengine hata sio wajuzi wa tech terms kiviile, kwa niaba ya ma layman wenzangu naomba niulize kwani whst's API?
API = Application Programming Interface, ni mfumo ambao unawezesha mifumo tofauti tofauti kuweza kushirikisha taarifa na kufanya kazi pamoja,
mfano: unapotuma pesa kwenda bank kwa kutumia simu yako it means mifumo miwili separate imeweza kuwasiliana na kubadilishana taarifa
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,000
2,000
Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.

Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii
Waanze na ku link M-Pesa na Skrill/Paypal. mtu aweze kutuma pesa na kupokea pesa
 
Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,322
2,000
Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.

Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii
Tutafaidikaje hapo?
 
ze future

Senior Member
Jan 2, 2020
186
500
Flash(SanDisk) yangu imeingia maji nifanye nini iweze kufanya kazi tena maana haisomi kwny device yangu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom