fursa

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha parachichi ni fursa

    Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali kama mafuta na bidhaa nyingine nyingi. Lakini pia zao la parachichi limekuwa hitaji kubwa sana...
  2. JamiiForums Tanzania Fani ipi kati ya hizi ina fursa za kupiga pesa?

    Salaam wadau, Moja kwa moja kwenye maada husika Mimi ni kijana mwny umri wa mid 20’s. Nina mpango wa kwenda VETA ili kujifunza ujuzi niweze kujipatia kipato. Lengo langu nikasomee kimojawapo kati ya udereva au ufundi simu+computer. Udereva nilioulenga ni Basic driving + ADVANCED DRIVERS GRADE...
  3. JamiiForums Tanzania Nanenane na wajasiriamali: Fursa kwa wagunduzi/wajasiriamali na wamiliki-wazalishaji

    Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako iliyounganishwa na uzi huu. Kwa mtu binafsi unaweza kudownload na kuchapisha maelekezo ya kujiunga kisha...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii: Fursa za kimazingira na kijiografia kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu, Gundua fursa zisizoonekana

    Mitandao ya kijamii ikiwemo jamii forums,twitter, linkedin, instagram, facebook n.k vimekuwa nyenzo mhimu katika kutoa habari za ki-eliumu, mazingira, afya, uchumi, kilimo, biashara, jamii, tamaduni, siasa na michezo. hivyo hutoa nafasi ya kufuatilia mafunzo maalumu na kumuwezesha mfuatiliaji...
  5. JamiiForums Tanzania Nawamegea Fursa ya Kilimo cha Maharage ya Soya kwa ajili ya Soko la China

    Wachina tayari wamekamata fursa na pia Nchini kwao kuna fursa ya soko kubwa. Msije kusema hamkuonyeshwa👇
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Mageuzi ya Sayansi na Teknolojia ni fursa kwa vijana

    MAGEUZI YA SAYANSI NA TENKNOLOJIA NI FURSA KWA VIJANA Kijana anawezaje kunufaika na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia? Mwandishi wa maarufu wa vitabu huko Marekani, Alvin Toffler katika kitabu chake Cha POWER SHIFT, Aliandika Alieleza Aina tatu za Nguvu, Nguvu za Mwili (physical power), Nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi ya Tatu ya Internet (Web 3) na Fursa Zake kwa Kijana wa KiTanzania

    Vijana wengi tunapenda kutumia internet kufanya mambo yetu mbali mbali ikiwemo, kuperuzi katika mitandao mbali mbali ya kijamii, kutumiana jumbe, kuangalia video na pia kujifunza vitu mbali pia kujiburudisha kwa kucheza michezo mbali mbali inayopatikana mitandaoni maarufu kama games. Lakini je...
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwekezaji wa kumbi na maeneo ya starehe vijijini ni fursa kubwa kwa sasa na sio kilimo na ufugaji pekee

    Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao. Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Wilaya ya Kiteto na fursa ya mashamba kwa zao la alizeti

    Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012. Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
  11. JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira unavyotoa fursa kwa wapigaji (matapeli)

    UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani mbalimbali kama vile mafundi, walimu, madaktari, wahasibu, mahakimu, nakadharika. Wahitimu hawa, wanahitimu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Funguo za kupata fursa zaidi

    Kwa majina naitwa Steven J ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Dodoma, Shahada ya utawala katika elimu. Naomba nikuletee makala fupi kuhusiana na Funguo za kupata Fursa zaidi, ambavyo ni vitu nilivyojifunza kupitia maisha niliyoyaona kwa watu lakini pia niliyoyaishi mimi mwenyewe. Makala...
  14. JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa: Nchi yetu imepata fursa nyingine ya matumizi mabaya ya rasilimali

    Na Ndesumbuka Merinyo Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vijana kujua fursa zilizopo kwenye kilimo

    Vijana wengi nchini kwetu Tanzania wanalichukulia suala la kilimo kama ni la kimasikini na lisilo wahusu. Vijana wengi hasa wasomi tunaomaliza Vyuo Vikuu nchini tunalalamika ajira hakuna ni kweli lakini pia yatupasa sisi kufikiri kwa upana ni kwa namna gani tunaweza kutumia elimu tuliyoipata...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kujua hizi kozi utofauti wake na fursa zake

    Habari wana JF, Naitaji msaada wa kujua hizi kozi utofauti wake na fursa zake, na ipi ni bora zaid kwa soko walau kidogo tu. 1) Bachelor of Accounting and Finance 2) Bachelor of Accounting and Taxation 3) Bachelor of business Information and communication technology.
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Athari na Fursa za utajiri kwenye Teknolojia ya Intaneti

    Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama kijiji. Kila vumbuzi zina madhara yake kwa kuwa kitu kinapokuwa kigeni huendelea kutumika na matokeo...
  18. JamiiForums Tanzania Anguko la Euro; Je, ni fursa au hasara kwa nchi za kiafrika?

    Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee). Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
  19. JamiiForums Tanzania Fursa kadhaa za Biashara / Ujasiriamali Abraar (Waja Wema)

    Abraar (waja wema) Asalaam Alaikum. Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
  20. JamiiForums Tanzania Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…