Brightson7
Member
- Feb 17, 2023
- 38
- 30
Wadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
Vets akafanye niniNenda veta achana nayo hiyo
nakaziaNenda veta achana nayo hiyo
Akasome Kuna coz nying uko veta za kupiga mpunga kitaa akiniuliza nitamtajiaVets akafanye nini
Bora akapate maarifa kuliko kwenda kuwa fundi mchundoAkasome Kuna coz nying uko veta za kupiga mpunga kitaa akiniuliza nitamtajia
Maarifa ya History twoBora akapate maarifa kuliko kwenda kuwa fundi mchundo
Kwani ataishia hapo Sasa watu waliofaulu wakienda kuwa mafundi michundo wabobezi wa sheria na fani nyingine watapatikana vipiMaarifa ya History two
Hakuna fursa yoyote bali fursa pekee ni kilimo na ufugajWadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
ualimuWadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
Wew unafikiri maarifa ana anayo ndo yaliyomuongoza kuja omba abc hapa.Bora akapate maarifa kuliko kwenda kuwa fundi mchundo
Maarifa ataenda kuyapata chuo akienda kuchukua degree na masters kwasasa Boda Hana ndo maana nmempinga yule aliyemshauri dogo aende kuwa fundi mchundoWew unafikiri maarifa ana anayo ndo yaliyomuongoza kuja omba abc hapa.
Bora akawe fundi mchundo kuliko kuvagaa moto ambao anauona wenzie unavyowateketezaMaarifa ataenda kuyapata chuo akienda kuchukua degree na masters kwasasa Boda Hana ndo maana nmempinga yule aliyemshauri dogo aende kuwa fundi mchundo
Shukran kaka apo nimekuelewa vizuri1) unaweza kuwa mwalimu wa history , language au geography ita -depend mainly with teaching subjects ambazo utaamua kuzichukua pindi ukiwa chuo of course utanufaika sana as you can see in previous teaching jobs that was announced in April i think walimu wa kingereza wengi wamechukuliwa so the choice is yours
2) unaweza kuwa mwanasheria i have got lots of friends who were doing Hgl back then in Advance level ambao later on walifanya sheria wakiwa chuo and now they're living their fullest life as lawyers .
3 ) kuna jamaa hapo juu kasema unaweza kuja kuwa mwanadiplomasia mzuri if lucky will be on your side who knows may be one day ukaja kuwa balozi wa tz somewhere 😊
4) if you will choice to keep up with english language still you can do hundred of things even if it happens you dont get a job in future coz unaweza kuwafundisha watu wanaotoka kujifunza kiswahili , i have one friend who is doing thing currently tho aint sure if he is making enough but at least he's getting something.
- unaweza pia kuwafundisha wa tanzania wenzio kingereza coz English is still a problem in our country so you can use it as an opportunity.
Lakini kama vyote utaona havipo katika upande uupendao basi nakushauri uachane nayo hiyo combination maana mwenyewe umeona wengi waliosomea hii wameishia katika ualimu unaweza kuwa wakuajiliwa au wakujiajili hivyo kama kuwa mwalimu siyo passion yako basi achana nayo kabisaaa.
Kuna fani supply ipo kubwa mtaani kuliko demand, mfn huyo mwanasheria demand yake sio kubwa .. huwezi kufananisha na demand ya koz mfn ya umeme, Kwa mtu Alie pitia vetaKwani ataishia hapo Sasa watu waliofaulu wakienda kuwa mafundi michundo wabobezi wa sheria na fani nyingine watapatikana vipi
Vijana wawe wanafikirie kwenda international zaidi na sio kuwa mafundi michundo ukiangalia kigezo Cha urahisi kupata miamia basi mshauri ajifunze bodabodaKuna fani supply ipo kubwa mtaani kuliko demand, mfn huyo mwanasheria demand yake sio kubwa .. huwezi kufananisha na demand ya koz mfn ya umeme, Kwa mtu Alie pitia veta