sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine
Ni IT wachache mnooooo wameweza kutajirika na ujasiriamali wa digital platdorms. Naemjua kwa sasa ni Nala ila huyu naona anapata boost sana kutoka kwenye familia aliyotoka,, wengine ni yule jamaa wa Max Malipo alilipwa pesa takribani bilioni toka hapo sijamsikia, bila kumsahau Maxence mwanzilishi wa huu mtandao maarufu hapa nchin nae si haba.
Ajabu ni kwamba hadi sasa alieweza kutoboa zaidi wala hakusomea IT, ni mtu aliesomea mambo ya uhasibu ila alikomaa kwenye IT akauza platform yake ya mambo ya kuuza gesi wakampa bilioni 50.
Wengine wapo bize kuiba account za Fb utakuta account ya dada yako inapost picha za uchi huko magroup ya sauzi kumbe kuna jangili anaitumia ili apate pesa za blogging, hapa penyewe wengi wanaambulia milioni kwa mwezi, (wapo wanaopiga hadi 10 ila wachache)